Taasisi ya vijana yatumiwa na mabeberu kuhamasisha ushoga nchini

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
*VIJANA NI TUNU YA NCHI KUKOSA UZALENDO NI USALITI*

Na Mzee Kiruu

Vijana wengi wa kitanzania kwa kupitia asasi mbalimbali wamekuwa wakitumiwa na Mabeberu kuchochea machafuko na fikra za vibarakara. Hii ni kwasababu ya kukosa Uzalendo na tamaa za kupata mafanikio ndani ya muda mfupi.

Moja kati ya Taasisi za Vijana wanaotumika kupandikiza fikra za kichochezi ni Tanzanian Youth Vision Association (TYVA). Taasisi hii hupokea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali wenye nia ovu ya kuhamasisha na kusambaza mahusiano ya jinsia moja. Walifanya kikao Dodoma June 4, 2019 kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu yenye makao yake Dar es Salaam. Haya wanayoyafanya ni kinyume cha sheria, mila na tamaduni za Watanzania.

Sambamba na hilo vijana hao hutumia nafasi hiyo kuwarubuni vijana wa mijini na vijijini na kutotii sheria na kuhamasisha vurugu.

*Vijana wa Tanzania, huu ni wakati wa kuwa pamoja na kuujenga uzalendo wetu kwa dhati.*
 
Hivi mkuu unaweza ukahamasisha kijana akaingizwa linyama la mwanaume mwenzake nyuma?, ujue huyo amependa mwenyewe
 
Huu sasa uzushi, nyuzi za hivi zimekuwa nyingi zisizo na ushahidi, mara mabeberu wanachochea vijana kuanzisha uasi,hakuna evidence yoyote
 
Kama wewe sio shoga, kwanini ukerwe na wanaotetea haki za ushoga?

Hilo moja. Pili, kama kweli mnauchukia ushoga kiasi hicho, mbona hatujasikia "wananchi wenye hasira wavamia nyumba ya MADAM na kuwapa kichapo mashoga"? Kweli hamjui makazi ya mashoga?

Haya Twende Instagram. Hivi wale 100k plus followers kwenye akaunti za mashoga ni akina nani kama sio nyie wanafiki ambao hadharani ni wapinzani wa ushoga ilhali faraghani mnaliwa kiboga/mnakula kiboga?

Mie ni Mkatoliki na dhehebu langu linakataza ushoga. Lakini Kanisa Katoliki hilo hilo linakabiliwa na kashfa kubwa ya vitendo vya ulawiti, which is quite ridiculous coming from the church's stance on homosexuality.

Tuache unafiki. Ushoga upo, mashoga wapo. Kama sie ni wasafi kiasi hicho, ushoga unatoka wapi? Na mashoga wanatoka wapi? Kwa mabeberu?
 
Dah hapa tayari mtu ashauza utu wake kwa shetani

Pole sana
 
Tamaa ya kupata mafanikio ya haraka haraka inawatokea wengi puani.

Huku USA vijana wengi wanaishi fast life.

Sasa hii fast life wanajitahidi kuileta kwa vijana wa kiafrika kwa kasi ya light.
 
*VIJANA NI TUNU YA NCHI KUKOSA UZALENDO NI USALITI*

Na Mzee Kiruu

Vijana wengi wa kitanzania kwa kupitia asasi mbalimbali wamekuwa wakitumiwa na Mabeberu kuchochea machafuko na fikra za vibarakara. Hii ni kwasababu ya kukosa Uzalendo na tamaa za kupata mafanikio ndani ya muda mfupi.

Moja kati ya Taasisi za Vijana wanaotumika kupandikiza fikra za kichochezi ni Tanzanian Youth Vision Association (TYVA). Taasisi hii hupokea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali wenye nia ovu ya kuhamasisha na kusambaza mahusiano ya jinsia moja. Walifanya kikao Dodoma June 4, 2019 kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu yenye makao yake Dar es Salaam. Haya wanayoyafanya ni kinyume cha sheria, mila na tamaduni za Watanzania.

Sambamba na hilo vijana hao hutumia nafasi hiyo kuwarubuni vijana wa mijini na vijijini na kutotii sheria na kuhamasisha vurugu.

*Vijana wa Tanzania, huu ni wakati wa kuwa pamoja na kuujenga uzalendo wetu kwa dhati.*
kabla ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa bunge maalum la KATIBA. humphrey polepole alifanya kazi kwenye NGO ya mashoga.
 
Bila shaka hawa ni wale vijana wa ChangeTanzania..na shangazi yao
 
*VIJANA NI TUNU YA NCHI KUKOSA UZALENDO NI USALITI*

Na Mzee Kiruu

Vijana wengi wa kitanzania kwa kupitia asasi mbalimbali wamekuwa wakitumiwa na Mabeberu kuchochea machafuko na fikra za vibarakara. Hii ni kwasababu ya kukosa Uzalendo na tamaa za kupata mafanikio ndani ya muda mfupi.

Moja kati ya Taasisi za Vijana wanaotumika kupandikiza fikra za kichochezi ni Tanzanian Youth Vision Association (TYVA). Taasisi hii hupokea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali wenye nia ovu ya kuhamasisha na kusambaza mahusiano ya jinsia moja. Walifanya kikao Dodoma June 4, 2019 kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu yenye makao yake Dar es Salaam. Haya wanayoyafanya ni kinyume cha sheria, mila na tamaduni za Watanzania.

Sambamba na hilo vijana hao hutumia nafasi hiyo kuwarubuni vijana wa mijini na vijijini na kutotii sheria na kuhamasisha vurugu.

*Vijana wa Tanzania, huu ni wakati wa kuwa pamoja na kuujenga uzalendo wetu kwa dhati.*
Kinyume cha sheria mbona wapo walioapa na kusimamia sheri vipi nao wamerubuniwa nini
 
Halafu kuna wengine wantunga sheria na ndio wanakuwa wakwanza kuzivunja si mmeona wao wamsema hawataki vyama vya siasa kuwa na vikundi vya kuwarinda viongozi wao lakini wenyewe wanavikundi ambavyo vimefanya mazoezi napolisi kabisa nchi mnaiharibu tunaona.

Zimbabwe sio mbali sana
 
Kuteka na kuua, kutesa na kupoteza watu nayo inafanywa na mabeneru. Acheni upumbavu wenu enyi mliolaaniwa.

Mbona machafuko hapa nchini yameenea binadamu anamuua hinadamu mwenzie mnachekelea sembuse anyeolewa si mwili wake?.
 
Halafu kuna wengine wantunga sheria na ndio wanakuwa wakwanza kuzivunja si mmeona wao wamsema hawataki vyama vya siasa kuwa na vikundi vya kuwarinda viongozi wao lakini wenyewe wanavikundi ambavyo vimefanya mazoezi napolisi kabisa nchi mnaiharibu tunaona.

Zimbabwe sio mbali sana
Kuna wapumbavu wengi nchi hii akiwemo.mwandishi wa hiyo takataka. Ukifanya uovu upande mmoja unakosa legitimacy ya kukosoa ovu jingine. Ndicho kinachotokea kwa sasa. Hakuna wa kuonya uovu wa Ushoga ikiwa anafanya uovu zaidi ya ushoga.

Ndio maana tunawaita ni wapumbagu kuzungumzia vitu visivyo na madhara kwa ustawi wa watu.
 
mhn! kuna majibizano kwenye hii mada inanifanya nishindwe hata sijui nichangiaje lakini wacha namimi nichangie kidogo:-
  1. malezi mabovu katika familia ndio chanzo cha yote haya
    1. watoto wengi hasa wa mjini hawakupata fursa ya kuwa na baba zao wamelelewa na mama zao hivyo wakaelekezwa wanayoyafanya mama zao ambayo yamesababisha mazingira ya watoto wa kiume kuwa na tabia za kike na mwisho kushiriki vitendo vya ushoga
    2. maisha ya kupewa kila kitu mtoto anachohitaji na wakati mwingine kuwa na wasaidizi kupita kiasi na yenyewe imeleta uzembe
    3. kuwekw ulinzi na mashaka kwa watoto wa kiume eti asilale na wavulana wenzake kama zamani ilivyokuwa na kujenga hisia mbovu zimeleta mvuto wa vitendo vya kiarifu mzazi yuko tayari kuna mgeni wa kiume lakini mtoto wake akalale na dada zake eti kisa anaweza kufanyiwa huo upuuzi
    4. vijana kujiamulia mambo yao wenyewe tukiamini wamekuwa bila kutazama mabadiliko yanayoweza kuleta changamoto kwao.
  2. changamoto za maisha ya kisasa kama maisha ya thamthilia mitandao ya kijamii kimekuwa chanzo cha uovu
  3. tamaa na kupenda maisha fulani bila kufanya kazi kiasi inawakuta wako tayari kufanya chochote
  4. serikali kutokuwa tayari kulisemea kwa ukali na kujiamini kwa kuwaogopa wafadhiri eti watagoma kufadhiri bajeti zetu.
nini kifanyike
  1. ifike wakati wazazi tubadilishe msimamo wetu kwa kusimama katika kusudi letu kwenye malezi ya vijana hatusemi pombe ni mbaya lakini lazima tuwe na muda wa kukaa na familia vilevile kwa wakina mama wanaotumia muda mwingi kwenye maombi wakasahau wajibu wao kwa familia wakumbuke kuwa Kristo anawataka wajitwike msalaba wao na wamfuate mathayo10:38-39
  2. zianzishwe club za vijana za kufanyakazi na kupunguza muda wa kukaa bila kazi
  3. mitandao ya kijamii kama facebook ikiwezekana muda wa kuitumia upungue
  4. serikali itoe msimamo wake waziwazi kuwa ushoga hautakiwi na adhabu zake ni zipi
  5. walioathilika watambuliwe na wahudumiwe kwa kupewa ushauri nasaa mpaka watakapo kaa sawa.
 
mkuu!
kumbe upo hadi huku?
nmefurahi kukuona kamanda

Back
Top Bottom