Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Sasa Zitto mbona anajichanganya???kwamba anajua kuwa Chama chake hukaguliwa na wakaguzi wa nje,na wakaguzi wa nje wamekuwa wakikagua hesabu kwa usahihi...lkn tatizo ni ukaguzi wa CAG ndio haujafanyika...sasa hapa tatizo ni Chadema au CAG?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hoja gani zaidi ya umimi tu....eti yeye ndio kiongozi aliezunguka zaidi kuliko wengine...anataka kusema yeye ndio amekijenga zaidi chadema kuliko wenzie

huu ubinafsi ndio hautakiwi.

Hii ni fact ambayo inabidi aieleze, huwezi kumshawishi mtu kuwa mvuta bangi aliyefukuzwa kimbia NCCR au yule mzinifu mwizi wa wake za watu aliyekimbia CCM kwa kutokupitishwa kwenye kura za maoni wana mapenzi ya dhati na CDM kuliko ZZK ambaye amekulia humo!!!!! Huu ni uwendawazimu at its best.....
 
na Dr. Kitila Mkumbo akikubali kuwa Abdallah?

I think kinachotufelisha watanzania ni upuuzi wa kuchukulia serious matter kingese-ngese namna hii.... what if mtu akasema kuwa na nafasi serikalini lazima uwe muislam, would that make sense?? tuache kusoma na kufanya kazi kwa bidii na tubadili dini sio??

lets not go beyond ujinga-ujinga kwenye mambo yasiyohitaji kutugawa bila tija
 
Ngoja niache kumfwatilia huyu jamaa naona anaongea utumbo, kweli Zitto ni mnafiki aisee.
 
8.Katika mkoa wa kigoma nilizunguka majimbo yote
9.Kigoma uliogoza kwa kura za urais kwa CDM kuliko mikoa yote nchini nilikopiga kampeini mimi

Ndiyo maana watu wanasema zito ni mbinafsi ni kwasababu ya kuhisi kwamba bila yeye hakuna chadema anasahau kuwa hata huko alikokuwa akifanya mikutano kulikwepo watendaji wengine wa chama katika ngazi mbalimbali ambao walichangia mafanikio ya mikutano yake (muda wote anajitazama yeye tu, hizi ni aina ya siasa za kitoto)
hata mimi naungana na maamuzi ya chama kwa asilimia zote
 
ZZK ana moyo wa ajabu sana anajeruhiwa lakini bado anajitibia na kusimama imara !!safi sana hiyo ndo Peoples power
 
Zitto tunabaki naye chadema sahizi tutazibiti jiko na choo kuhakikisha wezi na madikteta hawali wala hawanyi.
 
Kweli Zitto na Kitila ni akili kubwa,akina Mbowe na Dr Slaa na wenzao wa kamati kuu hapa wamejivua nguo.
 
Wanaotaka atoke Zitto atoke wamtoe Wao

CC lema, Ben Saanane/ Mwita maranya, Mbowe, Slaa, Josephine
 
We kauzu umeona kithungu ni kitu cha maana! wacha ujinga mimi sio Ben najivunia kiswahili changu.

hata Kiswahili mgogoro! 'kithungu' ndo nini? Nenda shule wewe, unafuata philosophy ya Boko haram wanaolipua makanisa, vyuo na mashule. Kisa elimu magharibi haram i.e. Boko haram. Acha kuiga ujinga. Tafuta elimu hadi Uchina
 
Last edited by a moderator:
Huyu naye ni wa kumfuatilia. Bila shaka anafadhili.
1384275_612666182108812_465292118_a.jpg

Alberto msando? no no nooooooo he cant do that mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom