Taarifa za uchaguzi igunga za chadema kupatikana katika blog hii

Vancomycin

Senior Member
Jan 7, 2011
171
111
Habari Wakuu,

Katika taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa facebook Dr.Slaa ameandika ifuatavyo kuhusu mahala ambapo wanaotaka taarifa za uchaguzi wa Igunga;

Tungependa Watanzania wapate habari na matukio mbalimbali katika kampeni za Igunga kwa haraka. Tutatumia blogu hii huru UCHAGUZI IGUNGA ili kila Mtanzania mwenye habari apate fursa ya kutuma habari yake kwa kutuma Email kwenda thahope.ubunge@blogger.com Tafadhali kuwa mstaarabu kuepuka lugha zisizofaa kwa jamii.Habari za namna hii tutazitoa mara moja.

Kwa wale wote wanaopenda taarifa watembelee pia huko
 
Back
Top Bottom