Taarifa Yah. Babu Dc , kumalizilika muda.

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wana-wa- Bodi mapema leo katika pekuapekua yangu ya nyaraka kadhaa za Jeiefu, nikakutana na mafile kadhaa.
Ndanimwe kulikua na file zenye title ya SIASA, HABARI MCHANGANYIKO n.k .
Ili mradi nilikuta kila jukwaa lina file lake.

Yote kwa yote nikajikuta file lenye title ya ChitChat ndiyo kichwa yangu kikanituma nilifungue.
Naaam,
bila ya ajizi nikalifungua, katika peruziperuzi nikakutana na nyaraka iliyomteua Babu muhula wa mwisho kua Mkaguzi.
Kipengele hicho chasema
"Mhe. Aspirin umeongezewa muda wa mwaka mmoja kua Mkaguzi, na uteuzi huu utakoma tr 25.07.2012, aidha unakumbushwa upunguze ulevi unapokua makaguzini, kwani inaonekana baadhi ya wakati mipombe ikikuzidi shughuli inakushinda na matokeo vijana wadogo wenye sifa mahiri kama B52, BAGAH, PLATOZOOM wanakukagulia wewe ukiwa bwaksiiii "

Wadau kwa utambuzi huu ni uthibitisho Babu takrban miezi kadhaa alikua anakagua batili hata leo mbichi kakagua newcomer mmoja!

Kwa maana hiyo Babu hadi hivi sasa hana leseni ya ukaguzi ama aombe upya kuhuisha leseni yake, au awapishe vijana Mashababi wachukue kijiti !
Naomba ijadiliwe.
 
We kijana jifariji tu. Ukaguzi wangu ni wa kurithishwa tena usio na kikomo till death do me apart lol
 
Babu ya kweli yaliyo andikwa?
Naomba uthibitishe kama una kibali cha kudumu!
Kweli babu utamiss ukaguzi na kuna vifaa vipya vinaanguka humu kesho sijui itakuwaje!

We kijana jifariji tu. Ukaguzi wangu ni wa kurithishwa tena usio na kikomo till death do me apart lol
 
We kijana jifariji tu. Ukaguzi wangu ni wa kurithishwa tena usio na kikomo till death do me apart lol

Ina maana nyaraka nilizoziona ni zimeandaliwa na wanaokufisadi au?
Mimi sina tatizo na wewe unless unipatishie maelezo ya kimsingi nielewe ukweli wa a certain docs .
 
Ugomvi wa nini? Babu Asprin weka gamba hapa! Tukate maneno. Afadhali jeneneke wangu hajaguswa nawe. Love u chwity!
 
Last edited by a moderator:
Lo bora imeonekana huyu babu hakuwa na mamlaka hayo maana yeye ni mja ya waliodanganyika na ushawishi wa Baba V kutupiga vita.Love you my baby boy Ronn M
 
Erick hebu pita huku unipe fafanuo lako ! Kwamba unazisemea nini hizi nyaraka nilizozibamba sehemu.
Meanwhile kuna tetesi jioni hii kamkagua tena mtu!
It means leo 1 kakagua wawili !
Mi nadhani huyu Babu Dodoso refu linamhusu!
 
Lo bora imeonekana hana huyu babu hakuwa na mamlaka hayo maana yeye ni mja ya waliodanganyika na ushawishi wa Baba V kutupiga vita.Love you my baby boy Ronn M

Yani jeneneke mwandiko wako na wa gfsonwin imefanana mbaya. Wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho mashahidi zangu. Pamoja na ushahidi huu usio na mashaka bado kuna watu watabisha. Kuna watu wabishi huku ahera sijapata ona.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana nyaraka nilizoziona ni zimeandaliwa na wanaokufisadi au?
Mimi sina tatizo na wewe unless unipatishie maelezo ya kimsingi nielewe ukweli wa a certain docs .

Shauri zako! Watakucheka watu!
 
Jamani usiniambie babu Asprin?Kwa hiyo mpenzi wangu hakufanya kosa alichagua copy ya maElena?Mbona ndo nitazidi kujidai na mpenzi wangu Ronn M kama nimembeba ma kipenzi gfsonwin?Baba V,Mamdenyi cijui na Platooz walie tu.
 
Jamani usiniambie babu Asprin?Kwa hiyo mpenzi wangu hakufanya kosa alichagua copy ya maElena?Mbona ndo nitazidi kujidai na mpenzi wangu Ronn M kama nimembeba ma kipenzi gfsonwin?Baba V,Mamdenyi cijui na Platooz walie tu.

Hahah unanchekesha. Source: Faiza Foxy. Kama unavochemka kumwita mpenzi badala ya mwanao.... Hahaha!....Chezeya ODM weye? Multiple ID bana, utamtambuaje?
 
Hahaha... We na jeneneke mnajichanganya mbaya. Stuka Ronn M, Think! Mambo ya multiple IDs utamtongoza mamako bila kujua. Ohoooo! Usisahau mi ni MOD wa kujitolea.

aaah sasa ndo nimekuelewa babu Asprin kumbe vita yote sababu ni hiyo?ndo man cijui Platzoom pia aliiniita mvinyo wa kale?hahhahaah uwii kweli jamiiforum naipenda.Kwa sababu sasa nimelewa nia zenu hazikuwa mbaya nataka nikwambia vitu vichache tu mimi sio faiza hata ukiangalia id yangu inareprresent something from religion,,then for two years nimeshi sehemu ambayo ukitaka internet unaenda town cafe hiyo nguvu ya kuperuzi ningetoa wapi?mwacheni mpenzi wangu Ronn M akae kwa amani.
 
Back
Top Bottom