Mkuu wangu unategemea nini ikiwa siku zote report ya TUME ndio hukumu ya mwisho..Lini tumevuka swala hata moja baada ya report ya tume kutolewa?. Tusubiri tu tume ya Waziri mkuu, Chadema na pengine ya JK..Baada ya hizi tume kitu gani kitafuatia au ndio itaishia watu kulalamika tu.