Taarifa ya ki-intelijensia

Mojawapo ya majeruhi ni polisi aliyeumia vibaya kwenye paja,hii inatokana na yeye kushindwa kurusha bomu kwa wakati!
 
Wajibu nini? Kama mashtaka yenyewe yanasomeka kwamba walikutanika bila kibali, wakati huou huo polisi wanasema walikuwa na kibali cha mkutano na siyo maandamano.
Je unaweza kuwa na mkutano bila kukusanyika?
Hao ndio polisi wa ccm,na mahakama za ccm. UPUUUUUUUUUUUUUUZI MTUPU.
 
Back
Top Bottom