Simon SirroKwny uchaguzi wa mwaka 2010, rpc wa mwanza alishinikizwa na ccm (Jk) kuusambaratisha umati wa watu ili ushindi wa kiwia utenguliwe na dialo atangazwe mshindi! RPC alikataa kusambaratisha umati ule mpaka wakafikia hatua ya kung'oa mageti ya uzio wa h/shauri na kutibua uchakachuaji. Swali langu ni nani alikuwa rpc wa mwanza kipindi hicho?
You haven't said anything new here dude. Kupinga kwa Polisi is all about one against one evidence!!!!Sidhani kama kuna haja ya kupingana na kauli ilotolewa na jeshi la police unless tuna ushahidi kwamba hakuwa kichaa hapo kabla. Ikumbukwe "Mgonjwa huyu" ana ndugu, jamaa na marafiki aloishi nae kitambo chote hiki japo sijui umri wake. Tutaposikia kauri zao kuwa hakua hivyo hapo mwanzo then ndio tuna right ya kusema chochote lakini kwa sasa tushaambiwa ni mgonjwa wa akili na kalazwa muhimbili.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ndugu zangu, hupaswi kuumiza kichwa kutambua kuwa Polisi wana siri gani nyuma ya hili sakata. Waandishi wa habari tunakabiliwa na wakati mgumu. Tunapoamua kuanika mambo ya hatari kama haya, tunatambua hatari iliyo mbele yetu. Kwa ufupi tu niwaombe IPUZENI TAARIFA YA MSEMAJI WA POLISI. Tunafanya kila liwalo ukweli wote ujulikane. Swali dogo tu, iweje kichaa atolewe Dodoma kwenye hospitali maalumu ya vichaa, apelekwe Muhimbili? Hatujakata tamaa. subirini.
Safi junior Recture kama unavojulikana kwa avatar yako. Ufupi wa statement ya jeshi la polisi juu ya hili unasema kitu hasa kwa polisi hii ya kwetu iliyozoea mambo fulani. Namana alivyopatikana huyo Malele toka Dodoma hadi Dar bila kupitia hata kituo cha afya cha bunge nazo zinatia doa. Twawatakia mema yote hao akina Interpol ya Kenya akina Mwema Said!tukumbuke kuwa taarifa yeyote inayo fika polisi lazima ifanyiwe uchunguzi wakina ambao hichua muda mwingi zaidi ya huo ulio utaja. waki kurupuka matokeo yake iatkuwa kama hilo gazeti.
Safi junior Recture kama unavojulikana kwa avatar yako. Ufupi wa statement ya jeshi la polisi juu ya hili unasema kitu hasa kwa polisi hii ya kwetu iliyozoea mambo fulani. Namana alivyopatikana huyo Malele toka Dodoma hadi Dar bila kupitia hata kituo cha afya cha bunge nazo zinatia doa. Twawatakia mema yote hao akina Interpol ya Kenya akina Mwema Said!
tukumbuke kuwa taarifa yeyote inayo fika polisi lazima ifanyiwe uchunguzi wakina ambao hichua muda mwingi zaidi ya huo ulio utaja. waki kurupuka matokeo yake iatkuwa kama hilo gazeti.
BADO HUJAPATWA NA TATIzO AMBalo UNAHITAJI MSAADA WA POLISI, KAMA NDO HIVYO RUHUSUNI KAZI zINA zo fanywa NA JEshi la POLIsI ZIFANYWE NA JWTz KAMA Hamta PIGA DOMO, NIMEGUNDUA MAENEO yaSIO sHAMIRI VITENDO VYA UHARIFU NDIO HaWaWaHitaji WaNa polisi