Taarifa kwa Umma - Ufafanuzi wa mashtaka ya uchochezi ya Mhe Godbless Lema

huyu jambazi sugu,mwizi wa magari, mnahangaika naye wa nn hakuna cha msalia mtume kwenye mauaji kama haya

Na wale wezi wa EPA, Meremeta na Kagoda unasemaje mkuu? Pili unaposema hakuna cha msalia mtume kwenye mauaji kama haya, unauhakika gani kams Lema anahusika?
 
Hao polisi wamevamia nyumbani kwa Lema wakiwa na mbwa 15, mabomu na bunduki za kila namna kwa lengo la kumkamata mbunge anayefahamika na aliyechaguliwa kwa kishindo na wananchi.

Ni juzi tu majambazi yameua mtu na kujeruhi watu kadhaa akiwemo askari polisi na kisha wakapora fedha zaidi ya milioni 58 hapo hapo Arusha tena mjini kabisa karibu na stendi ya vifodi.

Wakati tukio hilo linatokea la wizi na kujeruhiwa kwa askari polisi mmoja (traffic) askari polisi wengine waliokuwa wamejazana kwenye defender wakageuza gari na kutimua mbio.

Ni dhahiri kuwa hawa polisi ni wepesi sana kwa raia basi tu kwakuwa bado tunaipenda nchi yetu vinginevyo wasingeshindwa kukabiliana na jambazi mchana kweupe kisha kuvamia nyumba ya mbunge usiku wa manane huku wamejihami kama wako vitani.

Hivi wewe ni mgeni...nani alikuambia polisi sio majambazi...?
Nenda kurasini kaone wezi wanasindikizwa na defender! usikute hao walioua walitumia silaha ya hao hao waliokuwa na defender!
 
Hivi Mulongo ana umri gani ? Nataka nipige hesabu ili nijue ni kwa miaka mingapi iliyosalia atajutia alichokifanya?
 
Wanançhi wa Arusha wamemchagua kuwaongoza, ukiachilia mbali mkuu wa mkoa ambaye yeye ameteuliwa....

Kama ni jambazi, akamatwe kwa ujambazi wake

Haiingi akilini, muuaji wa mwanachuo yuko huru,mbwa 15 zinashindwa kumsaka Njiro mnasaka mtu mnayemfahamu

Kama nilivyojisomea kwenye riwaya maarufu

'YANA MWISHO HAYA'

Kila siku huwa ninasema kwamba ukijifanya kufanya Kazi kama watu wanavyotaka,unaweza ukapoteza.
Lema alitakiwa ahojiwe,
Akasema atafutwe,...Polisi inaelewa Lema ni "jeuri ya Chama"(si kama tunavyotaka kuaminishana kwamba angejipeleka mwenyewe kama Kondoo)
Polisi wanajua Lema angekuwa "hapatikani kirahisi" wangeenda muda wa kawaida.
Polisi wanajua Lema ana "Wafuasi"na "Washabiki" kibaaaao....kwenda eneo analoishi,tena wakati tayari kuna msukosuko kama huo,ni "jeshi" poyoyo tu ndio litadhani litaweza kumchukua ki rahisi,hasa ukizingatia watu kama Lema wana e njoy advantages za Uheshimiwa,hasa kama ana makosa(ingekuwa ni mtu wa kawaida,wanakuja wanavunja tu ka mlango kako wakisha ku warn mara 2 tu!)
Ndio maana Walijua lazima Songombingo itakuwepo----SaSA ili kuzuia madhara,ni lazima Polisi wawe wengi,ili kutokusababisha matumizi ya "Vifaa visivyohitajika" katika kuongeza nguvu(Kumbukeni,Wale jamaa wa Boston bombings wamesakwa na Askari zaidi ya 20,000!...Yani mtu mbili zinasakwa na Watu 20000?----Sasa sitoshangaa mtu mmoja,ambaye you are sure ana wapambe kibao,ukamutafutia askari hata 10 tu).

Jeshi la Polisi nadhani lilifanya vema kwenda askari wengi...manake wangekuwa wachache,lazima wangeanza kutumia mabomu ama risasi(si mmesema watu walianza kujaa kwenye nyumba ya Lema?----na pia kwamba Lema alidhani wale ni majambazi?..teh teh...Siasa nzuri sana yani----unaweza ukajifanya "hamnazo",just kufanya ueleweke namna flani)
 
huyu jambazi sugu,mwizi wa magari, mnahangaika naye wa nn hakuna cha msalia mtume kwenye mauaji kama haya

YOU ARE SUCH A SENSELESS PERSON I HAVE HEARD, IT IS UNFORTUNATE THAT A PERSON LIKE YOU STILL EXIST IN THIS 21 st CENTURY IT IS UNFORTUNATE THAT PEOPLE LIKE YOU WHO DONT USE THERE BRAINS IS IN TZ
 
Safi sana.Taarifa imeandikwa kwa weledi na imeakisi hali halisi.Nitaunga mkono taarifa hii
 
Wasiwasi wangu, hata wakimfungulia mashitaka hawatasikilizwa, kwan lengo lao ni kuiua chadema
 
huyu jambazi sugu,mwizi wa magari, mnahangaika naye wa nn hakuna cha msalia mtume kwenye mauaji kama haya

Mafisadi wakubwa nyie, mmetufanya maskini na bado mnakejeli wapenda haki. Hata mfanye nini mwisho wenu umekaribia hata kama si 2015
 
MAKAMANDA WA M4C KAMA INAWEZEKANA CDM TUANZISHE JOPO LA MAWAKIRI (WANASHERIA) KAMA 100 HIVI, KAZI YAO NI KUSHUGHULIKIA KESI ZA OVYO OVYO zinazo anzishwa na ccm+TISS+POLICE+WALEVI WA MADRAKA, DHIDI YA VIONGOZI WA CHADEMA. MAANA KUFIKIA 2015 ZITAKUWA ZIFIKIA NYINGI SANA NA ZINGINE WATAZIZUSHA WAKATI WA UCHAGUZI KUNYIMA WATU FURSA YA KUGOMBEA. Finance source: Peoples' contributions and Donors / friends from Outside.
 
guilty until found innocent!!!! what goes around comes around m 23, you will one day remember this, I am hundred % sure. injustice and impunity principle is not selective

unapoteza mda kubishana na huyo paka shume hana haya kama muuza uchi.
 
Ni wazi sasa chama cha demokrasia na maendeleo kimekosa la maana la kuwaambia watanzania ili kuwashawishi kukipa kura katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Matukio yanayoendelea katika nchi ambayo almost 80% yanakihusisha chadema na matukio haya ni dalili za kupoteza muelekeo kuelekea 2015.
1.Tumeshuhudia kifo cha mwandishi wa habari mwangosi katika maandamano yasio na kibali cha polisi,
2.Vifo vya vijana wengine wawili katika nyakati tofauti katika maandamano ya cdm yalioharamu,
3.Vurugu za bungeni zikiongozwa na Godless Lema.
4. Uchafuzi wa hali ya usalama wa mji wa Arusha aliosabibisha huyu Lema.
5. M4c inaondeshwa kiuchonganishi zaidi na sio kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia kama kinavyodai cdm kuwa ndio lengo la m4c.
6.Chama kinalalamika kama yatima na kila tukio utasikia serikali ndio chanzo.
Matukio yote ya uvunjifu wa amani uliosababishwa na chadema wamekuwa wakiutumia kama mtaji.
Acha akanyee debe kwanza.
 
Haya maneno yote utayalipa hapa hapa duniani. Hakuna dhambi ndogo duniani kumbuka hata kumzulia mwenzako uongo bila kuwa na uhakika ni dhambi tena kubwa. Wewe unatafuta hela sisi tunamtafuta Mungu.
huyu jambazi sugu,mwizi wa magari, mnahangaika naye wa nn hakuna cha msalia mtume kwenye mauaji kama haya
 
Kila siku huwa ninasema kwamba ukijifanya kufanya Kazi kama watu wanavyotaka,unaweza ukapoteza.
Lema alitakiwa ahojiwe,
Akasema atafutwe,...Polisi inaelewa Lema ni "jeuri ya Chama"(si kama tunavyotaka kuaminishana kwamba angejipeleka mwenyewe kama Kondoo)
Polisi wanajua Lema angekuwa "hapatikani kirahisi" wangeenda muda wa kawaida.
Polisi wanajua Lema ana "Wafuasi"na "Washabiki" kibaaaao....kwenda eneo analoishi,tena wakati tayari kuna msukosuko kama huo,ni "jeshi" poyoyo tu ndio litadhani litaweza kumchukua ki rahisi,hasa ukizingatia watu kama Lema wana e njoy advantages za Uheshimiwa,hasa kama ana makosa(ingekuwa ni mtu wa kawaida,wanakuja wanavunja tu ka mlango kako wakisha ku warn mara 2 tu!)
Ndio maana Walijua lazima Songombingo itakuwepo----SaSA ili kuzuia madhara,ni lazima Polisi wawe wengi,ili kutokusababisha matumizi ya "Vifaa visivyohitajika" katika kuongeza nguvu(Kumbukeni,Wale jamaa wa Boston bombings wamesakwa na Askari zaidi ya 20,000!...Yani mtu mbili zinasakwa na Watu 20000?----Sasa sitoshangaa mtu mmoja,ambaye you are sure ana wapambe kibao,ukamutafutia askari hata 10 tu).

Jeshi la Polisi nadhani lilifanya vema kwenda askari wengi...manake wangekuwa wachache,lazima wangeanza kutumia mabomu ama risasi(si mmesema watu walianza kujaa kwenye nyumba ya Lema?----na pia kwamba Lema alidhani wale ni majambazi?..teh teh...Siasa nzuri sana yani----unaweza ukajifanya "hamnazo",just kufanya ueleweke namna flani)

Wewe unaongea nini wewe? Hivi unalipa kodi wewe? Vitu vingine bora mnyamaze tu. CCM inzidi kupoteza hata ile small touch iliyo nayo kwa wanannchi. Kwa mwendo huuu hakuna mtu atakaye ipigia kura ccm 2015.

Hawa majua wa jeshi letu usijaribu kuwa tetea, kwanza they are too ignorant it is even irritating, second they are paranoid, hawa jue uhusiano kati ya hesabu na sheria. Wao wanadhani nguvu nikuwa na silaha nyingi tu!! Watu hawana silaha lkn wamejaliwa upstairs!!

Mwaka huu mtajua kuwa hakuna Mungu mbinguni, kama walivyowafundisha wakoloni weupe, ila kauli ya watu ndo kauli ya Mungu....ignorant people.

I cannt wait mkuu wa mkoa kushitakiwa, itakuwa ni my dream come true!!
 
Sipati kusema ninavyoumizwa na suala la kamanda wetu Lema, kipekee niwapongeze sana makamanda kwa mshikamano mkubwa mnaotuonesha katika kutafta haki ya kamand a wetu. Huo Msukule wa Mkoa ni lazima tupambane nao mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom