TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

Lakini pia ujue hata jengo ambalo linatumiak kwa huduma za hosptal ya bugando ni la serikali amabalo lilijengwa na serikali ya Israel chini ya Mzee wa kweli JULIUS K.NYERERE....Ambapo hata hili jengo halikuisha baada ya mwl kuwaona wa israel hawakuwa na nia njema na mradi huo wa hopspital nyerere akawafuzia mbali na kuamua kuanza huduma za hosptal kwa huata hyhyo ampapo liliki limefikia ambapo ndo hadi sasa hivi liko palepale
 
Huduma zimesitishwa rasmi kuanzia leo saa sita mchana....
423023_354293497923948_100000299020055_1328384_503506497_n.jpg
 
Kwa hiyo Mheshimiwa Dokta baada ya kumaliza sherehe za miaka 35 ya magamba pale kirumba alilala mbele bila kujua kuwa na Bugando pamenuka. Basi atakuja dar akae siku mbili halafu aende tena mwanza, ili mradi tu awe safarini
 
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo.

Kkatika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa Madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..


NAOMBA KUWASILISHA

chezea m2 anayekula sup ya sato/sangara weye!!
 
Bugando iko chini ya kanisa katoliki, sijui kama nao wanagoma ili wapewe posho na serikali.... hata hivyo mwenye taarifa zaidi atujuze!

Bugando na KCMC zote ni za kanisa lakini kwa kuwa ni za rufaa kwa maana ya kuwa
mgonjwa yeyote anayeshindikana katika hospitali zozote hata za serikali huwa anapelekwa
huko.Hivyo serikali ina mikataba na hospitali hizi mojawapo ikiwa ni pamoja na kuwalipa madaktari
mishahara.
 
Ifike wakati serikali ipewe maiti za wagonjwa ambao wangeweza kuokolewa kusingekuwepo na mgomo huu izihifadhi na itoe maelezo kwa wafiwa ni kwa nini wasiishitaki kwa mauaji
 
Kutokana na uhaba wa madr wanajeshi tumeamua tuwaazime jirani zetu wa kenya na uganda ili angalau kuziba hili; pengo mtayasikia hayo manake wenyewe kila alternative ni jeshi tuone mwaka huu watafika wapi
 
Kwa hiyo Mheshimiwa Dokta baada ya kumaliza sherehe za miaka 35 ya magamba pale kirumba alilala mbele bila kujua kuwa na Bugando pamenuka. Basi atakuja dar akae siku mbili halafu aende tena mwanza, ili mradi tu awe safarini

Alishindwa kwenda Muhimbili majuzi, akaenda kufungua benki ya kata..
 
Imekaa njema sana,kwa hakika inashangaza na kusikitisha!

du si nchezo hapo nwisho wa siku Chi - square lazima isome!!

hata hivyo, nyerere hakuyamaliza, kaja mwinyi naye kayaacha...che nkapa naye vivyo hivyo...bora mie nachanganya na za mbayuwayu!
 
Hivi ni kweli tuna mwitaji Dr Ponda? He's a failure minister of our century! Pse rudi Ulanga
 
Kauli ya Mkuu wa Nchi na Serikali. Anayo kauli mkuu kweli akose kauli.

Hivi kweli Bugando si ni hospitali ya Kanisa imekuwaje na wao wanagoma tena?
Hospitali ya kanisa kimajengo na kiutawala lakini wafanyakazi wanalipwa na serikali.
 
Bugando na KCMC ni hospitali za kanisa naomba maelezo wanaingiaje kwenye mgomo huu sambamba na Muhimbili na hospiali zingine za umma? Napata shida kupata tafsiri yake.

Kama ni kweli unataka kujua hizo hospitali sasa zinaendeshwa na serikali japo ni mali za kanisa. Kwa maana hiyo watumishi wake wengi ni waajiriwa wa serikali japo kuna top up wanalipwa (at least walikuwa wanalipwa maana inaweza kuwa imebadilika) na kanisa!
 
Kuna mtu anaitwa KAKAKUONA40 humu jamvini, ni KU+*MA, MSE*.*NGE ana FI<*LWA NA WACHAWI PIA NA M*BWA.. Mchonganishi wa dini. M*.BWA mkubwa we.
 
Back
Top Bottom