RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,388
Katika wanadamu walioongea na Mungu ni mmoja tu! nae ni nabii Musa mitume wengine walikuwa wakiletewa wahyi/ujumbe kutia malaika gabriel/roho mtakatifu. Juu ya mapenzi yote aliyokuwa nayo Mungu kwa Yesu hakuwahi kuzungumza nae alimtumia roho mtakatifu kufikisha ujumbe babu ni nani amshinde hata Yesu? Someni vitabu vya imani zenu vizuri tatizo hatusomi maandiko ya Mungu ukizaliwa unaitwa Grace au Hassani basi unakuwa umeshakuwa mwislam/mkristo full stop. Hajasikia kutakuwa na ujio wa Dajal? atakuwa na uwezo wa kufufa na kufanya mvua inyeshe na atajiita yeye ni Mungu? Wale wenye kumwamini Mungu wa kweli hatatetereka na imani zao thabiti! Mungu atulinde na haya majaribu.............
'Nimeipenda' post yako coz ina-clear doubts!!!!!!!!!