Zanzibar 2020 Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

Uzi uko page ya 7 ni maneno tu hakuna hata picha moja ya kusapoti madai ya uzi.
 
Hali hii inakera sana haya mambo yanatokea Tanzania, hivi kweli Zanzibar watu hawafiki hata laki 5 kura siku mbili wakati Tanzania bara mamilioni ya watu na wafanyakazi wa NEC na wana usalama wote kura kesho kweli akili ya kawaida unaweza kuwaamini hawa watu. huwezi kuwatawala watu kwa kutumia hila au nguvu iko siku watakupatia tu. hata huyo Mwinyi na swala zake hizo 5 akienda ikulu namshauri aache hata kuswali maana atakuwa sehemu ya dhulma na ukatili hawezi kuwa na amani maisha yake yote.
 
Humu JF wakati mwingine alo. Mie niko mjini magharibi mbona hakuna hizo habari
Ukifatilia sana mambo yanayozungumzwa humu na mitandao mingine unaweza hisi kuna bonge la vita out there, na kwamba upinzani wanchukua dola kumbe chenga tu. Mzee we tulia fata taratibu zilizowekwa.
 
Mkuu huo ni uwongo usiamini
 
Unaamini huo uzushi ?
 
#ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter
Waafrika tuna shida Bora Wazungu wamestaarabika.Kitendo Cha watu kuuawa unaweza kuta hamna mtu anakemea.
 
Ukitawala kwa kuua hutakaa kwa Amani maisha yako yote.Kuna Kiongozi mmoja aliandika kitabu Cha kujutia aliyofanya Zanzibar 2001.Nadhani angekuwa hai angekaa mbali na huu ushenzi.
 
Upigaji kura wa mapema ni uhalalishaji wa wizi wa kura hili lipo wazi.
Hizo zilizopigwa mapema zisijumlishwe na zitakazopigwa kesho
 
Back
Top Bottom