HahahaT.B Joshua,anajaribu kwena na beat,ili hawazubaishe waumini wake!
Amesoma tena mwishoni akasema the woman will be win in a very narrow way but she will face a lot of challenges in bills ,Hajataja MTU usilete uongo kama Mbowe humu, alichosema rais atakayepatikana atapata ushindi mwembamba sana na atakuwa na changamoto nyingi sana ktk kuongoza hiyo nchi.
very likely,ahahahaHahaha
Anataka asepe na kijiji
Muda huu Niko naangalia Emanuel TV halafu unataka kudanganya watu kama Mbowe eti kalamu za NEC ukizitumia kupigia kura ile vema/tiki inahamia CCM:uwiiii umerogwa kweliumerogwa
angalia facebook page ya tb joshua au angalia attachment niliyoongeza hapo juuMuda huu Niko naangalia Emanuel TV halafu unataka kudanganya watu kama Mbowe eti kalamu za NEC ukizitumia kupigia kura ile vema/tiki inahamia CCM:uwiiii umerogwa kweli
Kasema mwanamke sasa kuna mwanamke mwingine anagombea sio mpaka utajiwe jina mkuuBut He didn't mention the name of the winner