T 814 BGZ Kilimanjaro Express

Pole best!
Ningejua ile tiketi ni ya basi hilo ningeifanya nap-kin dakika ileile!
Itabdi sasa urudi na Ngorika ile ya mchina!

he he...laiti tungelifahamu hilo mapema siku ile, ngorika hapana hata hilo jina linanitisha, siku nyingine nitacheck utaratibu unaofaa, wacha tupate mawasiliano na bosi ili awafunze customer care,walinikosea sana
 
Hawa jamaa wa Kilimanjaro Express kwa kweli siku hizi wanapoteza umakini uliotufanya wengi wetu kuyaamini mabasi yao kwa usafiri wa DAR -ARS...Kwa mfano siku hizi mara zote ukipanda basi la kutoka dar kwenda arusha, mkifika moshi wanaaza kupakia abiria wa Moshi- Arusha..na mbaya zaidi hata barabarani wanasimamisha kupakia abiria kama vile coaster zifanyavyo...mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kusimamisha abiria..hili nafikiri linakuwa dili la driver na konda wake hivyo ofisini au mmiliki anakuwa hana taarifa..kwa hyo mwenye uwezo wa kufikisha malalamiko hayo pls afanye hivyo...
 
hivi hakuna mwenye contact za mwenye mali?
 
hivi hakuna mwenye contact za mwenye mali?

Contact zipo kwenye tiketi, piga halafu waombe za mwenye mali au toa malalamiko yako ofisini mwao. Mie nilikuwa sijui kama wameanza kuwa washenzi kiasi hiki maana niliwaamini mpaka nikawa nasafirisha familia yangu na basi lao kumbe wamekengeuka?!!!! TUTARUDI KULE KULE KWA DAR EXPRESS NA MTEI EXPRESS TUWAACHIE UPUUZI WAO. AJALI ZIMETUCHOSHA
 
kwa nini madereva wasivae bluetooth devices za masikioni zikaunganishwa na simu zao. Mimi binafsi huwa ninaweka hichi ki divice masikoni mwangu wakati nadrive. Hata kama hujaweka route, umeweka namba ya gari na watajua wao gari yenye namba hizi ilikuwa inatoka wp kwenda wp. thank you jf
 
a a....inawezekana tulipanda bus moja nn,mm nilipanda jmosi kutoka Ars-Dar, huyohuyo dereva alikuwa anaendesha na alikuwa anaongea na simu kila wakati, na tulipofika sijui panaitwa kisangara gari liliharibika,tulikaa almost lisaa lizima,kutoka hapo mwendo ulikuwa mdundo, kwa kweli nilikuwa siwezi kusafiri na kampuni nyingine kwa route hiyo lakini itabidi nihame, kwa anayemfahamu mmiliki wa hayo mabus na namba yake ya simu atupatie ili aweze kusababishwa kuwafundisha madereva wake kuwa na adabu na roho za watu

Pole Preta, ndo yalikukuta hayo. Bora taarifa hii imewekwa wazi. Natumai wahusika watalifanyia kazi.
 
juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila wakati, watu tulihama makampuni mengine tukiamini wapo makini,lakini sasa wanapoelekea watapoteza wateja, ukizingatia na magari yao siku hizi yameanza kuwa mabovu....tunawashauri wajirekebishe
ni
Ni kweli hata mimi nimetokea kupanda hilo basi mara mbili na kwa bahati mbaya dereva akiwa huyo huyo,jamaa anaongea na simu muda wote kama vile yuko grocery,hata ukimwambia jamaa ana kiburi sijapata kuona,anaongea kuanzia Arusha hadi Ubungo na mara aongeleee mzigo wa mauwa nafikiri wana dili ya kubeba mauwa fresh toka Arusha,yeye na supervisor wake nafikiri anaitwa Hassan wao ni porojo na simu,hakika sijapata kuona mtu anayeongea na simu kama huyo dereva,hata mfanyabiashara anasingiziwa
 
a a....inawezekana tulipanda bus moja nn,mm nilipanda jmosi kutoka Ars-Dar, huyohuyo dereva alikuwa anaendesha na alikuwa anaongea na simu kila wakati, na tulipofika sijui panaitwa kisangara gari liliharibika,tulikaa almost lisaa lizima,kutoka hapo mwendo ulikuwa mdundo, kwa kweli nilikuwa siwezi kusafiri na kampuni nyingine kwa route hiyo lakini itabidi nihame, kwa anayemfahamu mmiliki wa hayo mabus na namba yake ya simu atupatie ili aweze kusababishwa kuwafundisha madereva wake kuwa na adabu na roho za watu

sio LISAA LIMOJA NI SAA MOJA
KISWAHILI NI LUGHA ADHIM MDAU
 
JUZI NDIO SIKU GANI?
Mlikuwa mkitoka wapi kwenda wapi?

Ukitaka mambo haya yafanyiwe kazi weka uthibitisho wa taarifa zako!...Mimi nipo hatua 30 toka ofisini kwao, naweza fanya lolote nikipata usahihi wa taarifa hizi!
Vinginevyo KILIMANJARO ni kampuni ya usafirishaji yenye heshima sana kwa route za Dar-Arusha!
Hivi mtu akiandika juzi na amepost tarehe 26/4/2011, juzi yake inakuwa haieleweki? Pia akikupa na namba bado unahitaji nini? Mie nadhani unadetail za kutosha saana.
 
kwa nini madereva wasivae bluetooth devices za masikioni zikaunganishwa na simu zao. Mimi binafsi huwa ninaweka hichi ki divice masikoni mwangu wakati nadrive. Hata kama hujaweka route, umeweka namba ya gari na watajua wao gari yenye namba hizi ilikuwa inatoka wp kwenda wp. thank you jf
Utafiti unaonyesha hata bluetooth si muafaka kwa madereva. Jamani si madereva wa mabasi tu, hebu wote tukome hii tabia ya kuongea na simu wakati tunaendesha magari, inapoteza concentration. Hatuhitaji askari wa usalama wa barabarani kwenye kuvaa mikanda, simu nk. Tukianza kuacha mmoja mmoja na baadae itakuwa desturi. Mie nina kawaida moja, nikikupakia kwenye gari langu ni lazima uvae mkanda haijalishi umekaa kiti gani.
 
kwa nini madereva wasivae bluetooth devices za masikioni zikaunganishwa na simu zao. Mimi binafsi huwa ninaweka hichi ki divice masikoni mwangu wakati nadrive. Hata kama hujaweka route, umeweka namba ya gari na watajua wao gari yenye namba hizi ilikuwa inatoka wp kwenda wp. Thank you jf
naunga mkono hoja kaka!
 
Hapo umenena kaka, hii ndo kampuni makini niliyopata kuiona na isiyo nguvu ya soda. Jamaa wako poa, nidhamu ya barabarani ipo juu pamoja na heshima kwa abiria. Safari za uhakika route ya Kaskazini Dar Xpress ndo mpango mzima...

Hivi wewe binti kwa nini unaaacha chuchu zako nje.?
hivi hakuna mwenye contact za mwenye mali?

Na wewe mgongo huo mnafanya antena zinasimama kwa picha tu

:smile-big: :smile-big: :smile-big:
 
Hii Nchi Kila mtu analalamika, hata Rais naye anaalamika, Jamii Forum nao wanalalamika....ukitaka nchi ya malalamiko njoo Nji........If no body take action... complains does.........tutafika???......wewe ambaye inajua walau kutumia haka kamashine ukilalama..wa kijijini je?.....sasa umeshakosa hata ushahidi zaidi being time bared..ilitakiwa right on the spot..simu za makamanda wa mikoa zimesambazwa kila kona kusaidia hili wajamen
 
juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila wakati, watu tulihama makampuni mengine tukiamini wapo makini,lakini sasa wanapoelekea watapoteza wateja, ukizingatia na magari yao siku hizi yameanza kuwa mabovu....tunawashauri wajirekebishe

Yaani we ulihama makampuni mengine ukaenda kilimanjaro express badala ya kuhama kilimanjaro express kwenda makampuni mengine.

Jaribu Dar Express, ni basi nzuri ingawa bei yao ipo juu kidogo kuliko hao kilimanjaro. watu hukimbilia Kilimanjaro kwa ajili ya urahisi wa bei na wale wanaojali kufika haraka kuliko kufika salama, Kilimanjaro wanaeleweka kwa kukimbia nashangaa eti ulikua hujui hili!
 
Kabla ya Easter nilipanda hili basi linaitwa Metro! AISEE dereva wake ni super na mwendo ulikuwa mzuri sana! nadhani ni mchinachina nalo! maana kila kitu imeandikwa kichina! ila ilikuwa very comfy na sijawahi panda basi zuri kama lile Tanzania, AC, Choo, orders to fasten seat-belts!, pretty attendants! mpaka bado kidogo nipitilizwe mianzini! Awesome!!
 
Metro is the best choice, mwendo salama, hakuna kuchimbishwa mizizi porini wala nini.
Mimi sisumbukagi na hawa watu, watumie wakiwa na nguvu ya soda, bt the time inaisha basi kuna kampuni nyingine itakuwa imeingiza magari mapya, unahama zako!
(i just changed from Dar xpress to Metro)
 
juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila wakati, watu tulihama makampuni mengine tukiamini wapo makini,lakini sasa wanapoelekea watapoteza wateja, ukizingatia na magari yao siku hizi yameanza kuwa mabovu....tunawashauri wajirekebishe

Pole sana hamia KIMOTCO mwende wa kinyonga tu mpaka Ar. Huduma zetu nzuri maana maji,biscut, soda hatugawi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom