profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,488
- 3,145
jamani hayo makombora ya s300,siyo paper work,ni halisi,israel hawezi hatarisha ndege zake za thamani kama f35 au f22,eti akajaribu,mambo ya ,,stealth,,hiyo ni paper work,bado hawajaprove kwa kuzirushia kombora kama s400 alafu,lisifaulu,,kama ni kushambulia,israel atakuwa anakaa anga ya palestina au lebanon ndio ndege zirushe makombora syria,siyo ziingie anga la syria kama zamani...Israel huwa haitoi matangazo wao ni actions tu.. Habari wanaleta Arabs so unaongea kinyume nyume mkuu.
Habari zinazoendelea ni kuwa kuna maghala ya silaha na ndege ya Iran na makao yao makuu yameteketezwa kabisa na Syria imetungua missile nne tu bila uhakika.na shambulio limekuja baada ya ndege ya Iran kutua