Swiss caught with live zebras compound in Arusha

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
By Staff Writer

Another resident of Arusha, this time a man of Swiss origin, has been caught here hoarding a pack of wildlife species at his home.

Mr Paul Strobel, a resident of Olasiti gardens in the suburbs of Arusha City, was keeping two live zebras in his homestead which by the time wildlife officials made scene there, resembled a miniature game park.

This development comes hardly two weeks after the other Arusha resident Ms Rahma Hassan was discovered to be living with three live cheetahs inside her house in the Sombetini ward.

The zonal head of wildlife division here, Mr Charles Mvungi stated that Mr Strobel has been keeping the two Zebras for over six years with no worries despite the fact that it was illegal to capture such state trophies.

“I did not capture the animals, they simply wondered into my homestead and I decided to take care of them,” claimed the Swiss.

Tourism, which is Tanzania’s biggest foreign income earning industry, relies solely on wildlife. Figures from the Tanzania Tourist Board indicate that more than 70 percent of foreign visitors, who come into the country for leisure tours, opt for wildlife gazing activities in the local national parks.

Arusha, which is the hub of Tanzania’s tourism industry, is the destination for over 80 percent of the total foreign visitors touring the country whose total number is around 800,000 per year.

Arusha is gateway to the Serengeti, Lake Manyara, Tarangire and Arusha National Parks, as well as the Ngorongoro Conservation Area Authority, the Loliondo Game Controlled Area, Mkomazi and Mount Kilimanjaro game parks, all abundant with millions of wildlife.

Source: Arusha Times
 
Mpaka Jakaya Kikwete atakapomaliza miaka mitano hakuna mbuga hata moja itabaki na mnyama hayo ndio anayoyaweza,kuuza kila kitu alichokikuta
 
arusha mji wa cdm wahalifu watupu

Una uhakikika na unachosema au unaongea tuu
Ni mji gani hauna uhalifu hapa tanzania ambako unawez akusema ni salama asilimia mia
huko wanakoua wakongwe au ujambazi wa sehem kama kasulu au ujangili kama kule Maswa na serengeti ndiko unasema salama
Uwe na data kabla hujaongea
 
kabla ya lema kuwa mbunge alishafikishwa polisi kwa makosa kibao ya kijinai.
 
juzi kasafirisha wengene kwenda qatar
serra mbaya za ccm bora hata cuf wangechukua nchi kuliko hili dud
 
kabla ya lema kuwa mbunge alishafikishwa polisi kwa makosa kibao ya kijinai.

kwa hiyo Lema kufikishwa polisi kw amakosa ya jinai ni kwamba mji umejaa ujambazi
mbona huyo Lema hajawahi kufungwa kama ni mhalifu
So na Mtikila anavyofikishwa polisi mara kwa mara nae ni mhalifu
So dar nayo nalo ni eneo la ujambazi
Mkuu utetezi wako hauna hata miguu
 
Mzungu mstaarabu sana huyo,kamuona punda anazurura mbugani akamuokota akampa makazi.
Sisi tunalalamika nini?
Chakuokota si Chakuiba,Mwenye Mali ni MJINGA.
 
Huyo kashindwa kusoma nyakati wameshindwana dau
nenda loliondo uone wanavyochukuliwa live kwenye ndege
 
Una uhakikika na unachosema au unaongea tuu
Ni mji gani hauna uhalifu hapa tanzania ambako unawez akusema ni salama asilimia mia
huko wanakoua wakongwe au ujambazi wa sehem kama kasulu au ujangili kama kule Maswa na serengeti ndiko unasema salama
Uwe na data kabla hujaongea

Ndugu yangu usibishane na Mkerewe utakesha!!
 
Mzungu mstaarabu sana huyo,kamuona punda anazurura mbugani akamuokota akampa makazi.
Sisi tunalalamika nini?
Chakuokota si Chakuiba,Mwenye Mali ni MJINGA.
na mimi nimependa utetezi wake.. "I did not capture the animals, they simply wondered into my homestead and I decided to take care of them," claimed the Swiss.. JE TUMUAMINI?
 
Back
Top Bottom