swali tata

Prince
usikurupuke
bible yenyewa inasema cc ni mfano wake
means yeye alituumba kwa mfano wake
means 2nafanana.
 
Mungu ni roho. Hafanani na chochote, japo katuumba kwa mfano wake. That y kwenye bible . Mwanzo inasema hvhapo mwanzo kulikua na neno nae neno alitoka kwa mungu ........ So read mwanzo utjua.
 
Acheni tabia za kipagani na kukosa Imani kiasi cha kumfananisha mungu na udhaifu. Mungu si she wala he. Huo mfanano tulionao kwa mungu unamaanisha upendo na huruma coz binaadam wana huruma na upendo. Ila mungu anahuruma zaidi. Nazungumzia mfano wake na si Kama yeye. Pia wanaadam wanaamini nguvu ipo kwa mwanaume na si mwanamke, mwenye sifa ni mwanaume si mwanamke n.k. Kutokana na tamaduni nyingi duniani. Hata wayahudi wanapohesabu population wanahesabu wanaume na si wanawake. That's y tunasema mungu ni he and not she.
 
Dah,
Mnaelekea kukufuru sasa.

Kama ni HE means mtaanza kuwazia kama ana uume, halafu ndevu, kisha muje muwaze kua hana matiti makubwa kifuani, ana sauti ya besi, anavaaga suruali na sio gauni nk.
Which is KUFRU!!

Tumuache kama alivyo tu waungwana!
 
Back
Top Bottom