Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 635
Wakuu leo natoka kivingine, naomba muweke hapa maujuzi yenu.
Hivi, kwenye shows za WWE akina John Cena, Batista, Triple H na wengine wengi wanapiga kweli au is just acting?
Kama ni uongo, inakuwaje, wale mashabiki tunaowaona uwajani vipi?
Na kama ni kweli mafunzo yake yanapatikana wapi, mbona game zake hazirushwi live, mbona anayeonekana kupigwa sana mwishowe ndio anakuwa mshindi, lkn pia mbona mchezo wenyewe uko USA hakuna sehemu nyingine?
Mwisho, mbona tunaambiwa DON'T TRY THIS AT HOME wakati boxing au kickboxing tuna try at home bila shida?
Haya natupia kitu hapa...........