Swali: Pesa za kuanzisha UDSM tulipata wapi?

BORGIAS

Senior Member
Jun 3, 2012
134
57
Leo hii serikali inayumba yumba kuanzisha vyuo vikuuu. Nasikia mipango ilikuwa kila mkoa uwe na chuo kikuu chake. Sasa ni miaka 50 ishapita na hakuna kitu.

Chuo hiki kimetoa magwiji kibao mika hiyo siku hizi wameishia kutoa akina NAPE & WAPUKI na wazugaji wengine tulionao serikalini.

Sasa cha kujiuliza waliwezaje na walipata wapi pesa za kuanzisha UD miaka hiyo ambayo serikali ilikuwa haina pesa halafu washindwe leo ambako wana vyanzo kedekede kuanzisha vyuo mikoa yote Tanzania?

Au pesa zilitoka nje ya nchi? Maana tunaambiwa kuwa tulianza kuomba misaada toka zamani

Waliosoma au kupitia Mlimani hebu tupeni undani zaidi.
 
thread zako bana, bora hata ya hii kuliko ile ya JOYCE BANDA, kwahiyo unataka waliosoma au kupitia mlimani ndo watoe jibu? nje ya hapo hakuna anayejua pesa za kuanzisha chuo zilitoka wapi sio!!!
 
Wakati wa Nyerere nchi aikuwa na Mafisadi watu walikuwa wanafanya kazi kwa faida ya nchi yao.Nyerere akuwa mbinafsi na wala alikuwa ajilimbikiizii mali kama walivyo hawa viongozi wa siku hizi ambao ni walafi na majizi wanaotafutia future mpaka wajukuu zao.
Ni ufisadi tu ndio kikwazo cha kuanzishwa macollege kila Wilaya au Mkoa.

Pia katika macollege mfano UDSM kuna viongozi ambao ni walafi na majzi mbaya.Kuna miradi mingi ambayo ingeweza panua UDSM lakini wakuu wa Idara husika ni wezi na wabinafsi.

Zipo Idara nyingi pale UDSM zinaendeshwa kama vile ni mradi Binafsi na sio wa Umma.Mfano UCC(Computer Center UDSM) toka ianzishwe miaka ya 90 mpaka leo hii Mkurugenzi wake ni yule yule, amejaza Ndugu zake na ata Kazi yeyote inayousiana na UCC anatoa kwa jamaa zake.

Kuna kipindi mpaka wafagiaji walikuwa wanatoka kijijini kwao..Sasa Mambo kama hayo na Ufisadi mtu kama huyu waezi kuunga mkono uanzishwaji wa chuo kingine cha Computer kwani anajua ulaji wake utayoyoma.

Tatizo lipo kwa watendaji na sio kitu kingine.
Angalia chuo cha waislam Morogoro japo waislam wapo wengi lakini kile chuo akifanani na hilo na wameshindwa ata kuongeza majengo ya kutosha mpaka leo,wameshinda ku open new campuses mikoa mingine kama vilivyo chuo kama vile Tumaini,SAUT,Mzumbe etc .

Leo hii serikali inayumba yumba kuanzisha vyuo vikuuu. Nasikia mipango ilikuwa kila mkoa uwe na chuo kikuu chake. Sasa ni miaka 50 ishapita na hakuna kitu.

Chuo hiki kimetoa magwiji kibao mika hiyo siku hizi wameishia kutoa akina NAPE & WAPUKI na wazugaji wengine tulionao serikalini.

Sasa cha kujiuliza waliwezaje na walipata wapi pesa za kuanzisha UD miaka hiyo ambayo serikali ilikuwa haina pesa halafu washindwe leo ambako wana vyanzo kedekede kuanzisha vyuo mikoa yote Tanzania?

Au pesa zilitoka nje ya nchi? Maana tunaambiwa kuwa tulianza kuomba misaada toka zamani

Waliosoma au kupitia Mlimani hebu tupeni undani zaidi.
 
Ilianza kama Kitengo cha Law Chini ya University ya Makerere
 
Zilitoka hazina baada ya Mwalimu kuona umuhimu mkubwa wa kuwasomesha Watanzania na hivyo kuweza kushika nafasi mbali mbali za wizarani na kwenye mashirika badala ya nafasi hizo kushikwa na wageni. Pia aliona ni vizuri kuwa na chuo chetu ili kupunguza gharama za kusomesha nje Watanzania.
 
UDSM kwa kifupi: idea ya kuwa na chuo kikuu ilikolezwa nje ya nchi hasa kwenye conference iliyofanyika USA kwenye American Council on Education. Majengo ya mwanzo yalikuwa designed na Messrs Norman and Dawban from Britain.

British government and private institutions based in the UK were the main funders up to 1965. Source: In search of relevance: a history of the University of Dar es Salaam edited by Kimambo, Mapunda, and Lawi and published in 2008.

Sehemu kubwa ya majengo ni pesa ya UK; nasikia Engineering ni Wajerumani na ndio maana hata majengo ni tofauti na yale ya Arts, Nkurumah Hall nasikia ni waIsrael na hawakumaliza baada ya kutofautiana na J. K. Nyerere.

The Dutch government nayo imechangia. Kule Hall III kuna block inaitwa Dag possibly ni kwa msaada wa UN (Dag Hammarskjöld ... sixty, Hammarskjöld was elected Secretary-General of the United Nations in 1953) www.nobelprize.org

Shida yetu watanzania tulio wengi na hata baadhi ya great thinkers humu JF hatusomi wala kufanyia kazi tunaosikia!!

Ila wengi wa hao magwiji ndio mafisadi wa nguvu!! Maprofessor na madaktari wengi wa philosophy wanafanya biashara za gesti, daladala, taxi, kuingia kwenye siasa na kuwa mwakyembelised n.k. badala ya kufundisha na kufanya research!!
 
Tupatie source ili nasi tuende huko tukaone kama maneno yako ni ya kweli.
 
Ilianza kama Kitengo cha Law Chini ya University ya Makerere

hapa naomba kutofautiana na wewe kwani Maelezo sahihi haya hapa

"The University of Dar es salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on the western side of the city of Dar es salaam, occupying 1,625 acres on the observation hill, 13 kilometers from the city centre.
It
was established on 1st July 1970, through parliament act no. 12 of 1970 and all the enabling legal instruments of the constituent colleges. Prior to 1970, the university college, Dar es Salaam had started on 1st July 1961 as an affiliate college of the University of London. It had only one faculty- the faculty of Law, with 14 students.In 1963 it became a constituent college of the university of East Africa together with Makerere University College in Uganda and Nairobi University College in Kenya. Since 1961, the University of Dar es Salaam has grown in terms of student intake, academic units and academic programmes."

University of Dar es Salaam - Tanzania - About Us - Background
 
UDSM kwa kifupi: idea ya kuwa na chuo kikuu ilikolezwa nje ya nchi hasa kwenye conference iliyofanyika USA kwenye American Council on Education. Majengo ya mwanzo yalikuwa designed na Messrs Norman and Dawban from Britain.

British government and private institutions based in the UK were the main funders up to 1965. Source: In search of relevance: a history of the University of Dar es Salaam edited by Kimambo, Mapunda, and Lawi and published in 2008.

Sehemu kubwa ya majengo ni pesa ya UK; nasikia Engineering ni Wajerumani na ndio maana hata majengo ni tofauti na yale ya Arts, Nkurumah Hall nasikia ni waIsrael na hawakumaliza baada ya kutofautiana na J. K. Nyerere.

The Dutch government nayo imechangia. Kule Hall III kuna block inaitwa Dag possibly ni kwa msaada wa UN (Dag Hammarskjöld ... sixty, Hammarskjöld was elected Secretary-General of the United Nations in 1953) www.nobelprize.org

Shida yetu watanzania tulio wengi na hata baadhi ya great thinkers humu JF hatusomi wala kufanyia kazi tunaosikia!!

Ila wengi wa hao magwiji ndio mafisadi wa nguvu!! Maprofessor na madaktari wengi wa philosophy wanafanya biashara za gesti, daladala, taxi, kuingia kwenye siasa na kuwa mwakyembelised n.k. badala ya kufundisha na kufanya research!!

tatizo website ya UD haielezei history ya hiki chuo...wanaleta story za Mwalimu tuu bas
 
Back
Top Bottom