Swali la leo

Matunda ya miaka hamsin ni matunda gani hayo embe boribo au, matango pori! Kimsing matunda nI
Ni usemi tu kama unavyoweza kusema nyumba nzuri niliyojenga ni matunda ya. Kazi ninayo famya. LKin nyumba siyo matunda kama ma pera au machungwa siku moja ukatengeneza juice. Na badala yake huo mfano wa matunda hauna maana zaid ya kufanya commed tu watu wamafueahi.
 
Hayafai hata kumpa mgonjwa maana ataweza kufa kwa hayo matunda. Matunda yapo ila wanayatumia wachache. Utaambulia makapi ya hayo matunda ambayo huwezi kupata juice labda ulambe tuuuu
 
Kwanza hayana mbegu matunda mazuri kidogo kwa juisi ni ya mwaka 1992
 
Back
Top Bottom