Mara tatu asubuhi mchana na usiku.
Inategemea na hali ya hewa ipo vipi,unaweza ukala hata mara sita(6)
Je, ikitokea weekend umaemua kushinda nyumbani na mwenzi wako; yaani mchana na usiku (au kwa masaa 24), na ni dhahiri kabisa kwamba lazima ule...! Je, wewe ungependa kula mara ngapi kwa siku, na kiasi gani kwa mlo?
Nawasilisha...!
<br />Hahaha....! Mmeanza kuwaza za hali ya hewa....!
kadiri unavyosikia njaa ndivyo unavyokula
craaaap!