Swali la kizushi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi ingekuwa kila anayeshusha bao inaripuka fataki papapaaaa!je sehemu za mijini pangekuwaje!!
 
Du hii kali! na wale wenye tabia za kupiga asubuhi asubuhi ndio ingekua balaa..!
 
hahahaha watu wangebania magoli....:shut-mouth::shut-mouth::faint2:
 
Maana kila mtu ninayemsikia usikia wakisema wknd nina kidate!!
 
Sijui nyumba za uswahilini ambazo huwa na wapangaji wengi sizizo na paa ingekuwaje; ila uswahilini wajanja sana huwa kila mtu anawasha radio yake kwa sauti ya juu na hujitahidi kuwa na spika nzito hata ikiwezekana zile zilizotengenezwa kienyeji.
 
Ha ha ha!I ngekuwa raha sana maana mafumanizi yangekuwa rahisi sana uswahilini kwa wale wezi wa wake za watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom