Swali kwa wenye wapenzi zaidi ya mmoja.

Unawakubalia wote ila 1day b4 appointment unawapa udhuru/unaumwa wote wawili na hakuna kuja kukutazama mgonjwa
 
if u play the game well haiwezekani hiyo kutokea ....so ikitokea jua unabugi katika game
 
God did not intend that MEN be with only one woman. If he did, he definately would never have given us this much SPERM!! May the differences live!
 
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?

Ni rahisi bro! Chagua kwa akili na ubadilishe meeting place kwa yule uliemchaguw!
 
kumbe ndo maana unamawazo ya kinecta nectaaa umekosekana kwel kwenye wale waliofutiwa majibu /
 
haiwezekani wote waombe mkutane sehemu moja at the same time...huo ni mtego,watose wote waambie upo bize.
 
Ukimwi unaua,tahadhari.
Ukiwa NA wawili NA wao watakuwa NA wawili jumla mzunguko WA watu watano,wanawake wawili NA wanaume watatu.
 
Sasa ka unajua zaid ni ujinga kuja kuulza kwa wasojua,nakushaur ongeza watatu wengne uone ka hujahanisiwa!Lol.....nhahahahahaa!
 
jifanye unaharisha siku hiyo... hope hujawaonyesha wote wawili nyumbani kwako wasije wakakuvamia kukupa pole simultaneously teh teh teh
 
Unaenda unakutana nao, usitayarishe majibu, ujibu kutokana na maswali yao, wakitaka kujua why, waambie we mauno yako mwingine urefu ama ufupi wake, siriazi kabisa uckenue kenue meno, km waziri mkuu wa uingereza. watatawanyika ila kila mmoja kwa nafasi yake atarudi, c umemcfia kwa alicho nacho, atataka akiendeleze ili umsahau mwingine
 
Back
Top Bottom