Swali kwa bunge na cag- kwa nini ufisadi wa kusini hautazwamwi

mchaichai

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
648
76
Kama kuna mambo yanayohitaji utashi wa kisiasa na utaalam wa hali ya juu ni UFISADI wa kanda zilizokuwa zimesahaulika kwa muda Mrefu (LINDI NA MTWARA) miaka miwili iliyopita nilikuwa katika kanda hizi..kwa shughuli za ustawi wa jamii na uwazi kupitia NGO moja ya kigeni. Tulipata fursa ya kuongea na baadhi ya watumishi watendaji wa kada zote katika serikali za mitaa halmashauri na manispaa (Jumla 6 ) 3 kila mkoa...hakiamungu na mtume kuna mchwa katika halmashauri hizi...tulipata fursa ya kuongea na watumishi wazalendo na wapenda maendeleo wakatupa siri nzito...kumbe wakati ambapo serikali inatakiwa kufanya ukaguzi wa kina ni wakati wa ROBO YA TATU NA NNE (mwisho wa mwaka) hapa inadhihirishwa ndiyo wakati makandaras hewa na manunuzi hewa huwa yanafanywa balieve or not...hii ni tangu enzi watu hawachezi mbali nyakati hizo na sababu kubwa kwa mujibu wa wadokezaji ni hela hazitakiwi kurudi serikali....NI UFISADI AMBAO NI MAUAJI NILITAJIWA NJIA ZINAZOTUMIKA NILITAKA KUZIMIA. (SECTOR ZINAZOONGOZA NI ZILE ZENYE KIPAUMBELE..KILIMO, ELIMU, AFYA na Ofisi ya MIpango katika fedha za miradi ya maendeleo. jamani hii ni kushindwa au kudharaulika kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na mamlaka za usimamizi?serikali uchukua hatua kwa halmashauri za mikoa hii sisi tutawapa ushirikiano kwa utafiti wetu>>>>>>>NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom