Swali: Hivi ni vizuri girlfriend/boyfriend wako kuwa karibu na rafiki yako?

moto wa maji

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
4,082
2,885
Habari wakuu,

Hivi ni muhimu na vizuri rafiki yako wa karibu akawa anamtoa out, anampa zawadi boyfriend/girlfriend wako?

Wachangiaji mnakaribishwa.
 
Kiongiz alijaribiwa Yesu sembuse yeye , mimi ninawivu saaaaana siwezi kuruhusu hii kitu mazoea yawe ya kawaida yasiyotia shaka sio wanazoeana utadhani wao ndo wapenz haaaaaaaaa noooooooop nitapiga mtu
vizuri kwa uamuzi mkuu
 
Mimi siwez sababu niliwahi kumpa boyfriend wangu wa zamani uhuru alichokifanya alimla rafiki angu,hivyo nilishajifunza sitak ukaribu na namba ya simu ctaki ampe yeyote nilijifunza kutokana na makosa ,unaemwamini sie kabisa
 
Back
Top Bottom