angalau kinakupa benefit of a doubt.GPA sio kipimo pekee ya ubora wa mtu
Kumbe una CV za ughaibuni lakini kilaza kama huyo mtu ana GPA ya kununua anaenda kufanya nn
Vjijini..?Kule vijijini kuna watoto wengi wanaliza darasa la saba hawahui kusoma wala kuandika. Taifa la watu wasiojua kusoma ni janga
Shule za vijijini hazina walimu, kwasababu hakuna miundombinu wadada na wakaka wazuri wanapenda kufundisha shule za mijini.Vjijini..?
Unasema hivyo kwa sababu uko kijijini mkuu?
Mijini wasiojua kusoma na kuandika huwenda ndio wengi kuliko wa vijijini!
Hivi unajua pia watoto wenye uwezo Mkubwa zaidi ni wale watoto waishio vijijini?
Wachungaji hawa hawa akina nabii Shilla?Vyuo vyote vikubwa duniani kama Havard na the likes huwezi kuta wanachukua GPA ndogo kama ya 3.4 na the likes...hata walimu wako wa chuo wana GPA kubwa ndio maana tumewaamini.
Hata wachungaji wako kanisani unaowahusudu wamefundishwa na GPA kubwa.
GPA siyo issue, je anaenda ku-deliver nini? Kibatala hana ufaulu wa juu ni wa kawaida sn darasani lakini Tanzania nzima huwezi kutaja mawakili bora na wazuri watatu ukamuacha yeye, hakuna mtu mwenye ufaulu mkubwa kama Lipumba tena mchumi lakini hana hata kibanda cha nyanya zaidi ya uchumi wa kwenye makaratasi tupu.
Kufundisha kitu gani kama wewe mwenyewe huonyeshi mfano, unajiita Afisa Kilimo lakini huna hata bustani utanifundisha kitu gani nielewe zaidi ya makaratasi? matajiri wote wamesoma nje kwenye shule za biashara kweli na siyo haya maigizo yenu( MO, Manji, Mengi, Rostam, GSM n.k) hakuna aliyesoma university of Dar es salaam hata mmojaKufundisha siyo kufanya biashara. Unalinganisha mapapai na malimao.
Kama utaajiri kwa GPA hapa bongo itakula kwako coz kuna degree za chupi pia!GPA sio kipimo pekee ya ubora wa mtu
Kufundisha kitu gani kama wewe mwenyewe huonyeshi mfano, unajiita Afisa Kilimo lakini huna hata bustani utanifundisha kitu gani nielewe zaidi ya makaratasi? matajiri wote wamesoma nje kwenye shule za biashara kweli na siyo haya maigizo yenu( MO, Manji, Mengi, Rostam, GSM n.k) hakuna aliyesoma university of Dar es salaam hata mmoja
Uko sahihi kabisa ,Mimi nilikua najiuliza kwann mwanafunz anafika darasa la Saba hajui kusoma na kuandika nikaona haya ni maajabu ikabid niingie chimbo kujua shida ni nini.Kule vijijini kuna watoto wengi wanaliza darasa la saba hawahui kusoma wala kuandika. Taifa la watu wasiojua kusoma ni janga
GPA ni kipimo cha commitment kwenye masomo na ufaulu kwenye masomo. Siyo ubora wa mtu wala kipimo cha mambo mengineyo.GPA sio kipimo pekee ya ubora wa mtu
Ajabu ni kuwa amefaulu kwenda shule ya serikaliUko sahihi kabisa ,Mimi nilikua najiuliza kwann mwanafunz anafika darasa la Saba hajui kusoma na kuandika nikaona haya ni maajabu ikabid niingie chimbo kujua shida ni nini.
Nilichogundua shule nyingi za serikali hasa primary ,wale walimu wanaofundisha awali had la pili ni weupe Sana vichwan mwao japo sio wote ,nikachimba baadhi ya vyeti vyao unakuta mwalimu alipata division ya point 30 akaenda somea ualimu na anakula maisha kirain tu.
So wengi hawana ujuzi na mbinu za ufundishaji ,yaan mwalimu anakopy kila kitu toka kwenye kitabu hata kujiongeza nje ya kitabu hakuna ,zana za ufundishaji hakuna kabisa ,Sasa mtoto ni vigumu Sana kujua kusoma na kuandika .
Pia tatizo lingine niligundua asilimia kubwa walimu ndio hufanya mitihani ya watoto hasa ile ya mchujo hii tabia ipo primary Sana .unakuta walimu wahangaika kutoa majibu ili shule yao ionekane imefaulu vzr ,so watoto wao hukaa tu na kunakil majibu ubaoni ,kwa tabia hii unategemea mtoto atahangaika kujisomea?
Majabu mengine niliyowahi kuyaona mtoto anaenda form one ila hajui hata kuandika jina lake ,hii ndio Tanzania ya ajabu kuwahi ishuhudia maishan mwangu.
Ubora wa walimu, madaktari nk, kwa mfumo wa elimu uliopo hapa nchini, hawawezi kupimwa kwa kiwango cha ufaulu wa GPA.Nimefuatlia interview kadhaa anazofanya Rais wetu wa KIKATIBA nimegundua wazungu wanatudharau sana!
Kwanza mama Samia kaanza kwa kusema amefanya makubwa sana ikiwemo kutoa ajira kwa sekta ya ualimu na afya (Nikagundua kumbe ajira za hivi karibuni zimetolewa kwa sababu maalum ya kufanya anachoongea kieleweke).
Mzungu (host wa kipindi) kwa kuzingatia majibu anayotoa mama akaona ampachike mama swali gumu sana.
"SAWA AJIRA MNATOA JE MNAZINGATIA UBORA WA WALIMU"
Hili swali linafikirisha sana, kuna mambo nimeyaelewa kupitia hili swali:
1. Kulingana na majibu anayotoa mama kwenye interview anazofanya...imeonekana shida sio mama bali shida bali ni elimu na shida sio elimu bali ni quality of teachers.
2. Viongozi wetu wanaonekana weupe kwa sababu ya elimu yetu. Plato aliwahi kusema nakuu: "Watu wanaopaswa kuchukua madaraka ya kuongoza wengine ni wale wenye akili (IQ) kubwa."
Nchi za wenzetu wanazingatia sana quality of education maana ndio msingi wa maendeleo .
3. Kwetu ajira za afya na ualimu wanazingatia umri, mwaka wa kumaliza n.k. Wanasahau Quality ya labour.
Unakuta mbaba wa miaka 30 mwenye GPA ya 2.1 anachukuliwa kufundisha watoto wetu...
Kijana wa miaka 20 mwenye GPA ya 4.6 anaachwa eti kisa kamaliza 2021 ?
Tuacheni siasa kwenye elimu tutaendelea kionekana weupe kichwani mkatudhalilisha sie wenye CV zetu huko ughaibuni.
Ongeza undgNimefuatlia interview kadhaa anazofanya Rais wetu wa KIKATIBA nimegundua wazungu wanatudharau sana!

Vyuo vyote vikubwa duniani kama Havard na the likes huwezi kuta wanachukua GPA ndogo kama ya 3.4 na the likes...hata walimu wako wa chuo wana GPA kubwa ndio maana tumewaamini.
Hata wachungaji wako kanisani unaowahusudu wamefundishwa na GPA kubwa.
Nadhani wewe akili yako ipo kwenye kufundisha tu,kwenye taaluma kama sheria GPA yako is irrelevant bali uwezo wa ku-demonstrate skill ulizo-gain ndio cha msingi.Kwa mfano:Ukienda kufanya submission mahakamani ukipigwa pingamizi(objection) unatakiwa upambane,lkn huwezi kumwambia Judge achukue hoja yako kwa sababu wewe ni Professor au ni Mtu mwenye GPA KubwaVyuo vyote vikubwa duniani kama Havard na the likes huwezi kuta wanachukua GPA ndogo kama ya 3.4 na the likes...hata walimu wako wa chuo wana GPA kubwa ndio maana tumewaamini.
Hata wachungaji wako kanisani unaowahusudu wamefundishwa na GPA kubwa.