seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Hili ni swali fikirishi kwa wale wanaolinganisha siasa za muonekano yaani Facial morphology ya mtu na watu fulani.
Siasa za Facial morphology kuna wakati zilimfananisha Bernad Membe na Jakaya kikwete,Zilizua maneno mengi sana na propaganda nyingi sana ,Swali la Membe Bernard na Kikwete Jakaya halikupata jibu mpaka pale Membe alipofariki na kikwete kuamua kutoa historia ndefu ya urafiki wake pamoja na Membe kuwa bosi wake Kikwete Jeshini Monduli ndiye aliyekuwa pia bosi wake Membe kwenye eneo lingine la serikali nje ya jeshi na ndiye aliyewakutanisha.
Cha kushangaza wakati wote wa tuhuma za kuwahusianisha kama ni ndugu kikwete alikuwa mkali sana akisisitiza hana urafiki na Membe bali wanafahamiana kikazi tu.
Nnape Nnauye naye anahusianishwa sana na Prof Mark Mwandosya ,Hakuna aliyejibu haya iwe Nnape Nnauye au Prof Mwandosya mwenyewe,Siasa za Facial Morphology zinaweza kukubeba na wakati mwingine kukuangusha.
Je ?swali la Nnape Nnauye na Prof Mwandosya linaweza kupata majibu mapema tofauti na lile lililodumu kwa muda mrefu la kukanusha na kulikataa lakini mwisho wa siku ikawa Familia ya Membe na Jakaya kikwete ni watu wa karibu sana yaani wa kufa na kuzikana.