Swali;dereva huwa anatakoje humo ndani?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,579
07F67FD0-1AB1-4348-B1D2-3945F1DCA172.jpeg
 
Hilo limesukumwa wakati steering imekuwa locked. Na hayo ni magendo, wanaingiza bila kulipia kodi, halafu wanakuja kutumia kadi ya gari iliyokatwa scrapper, gari mpya kama hiyo utashangaa ni namba A
Kutoa je?
 
Anatokea dirishani kwa kujibana. Ukienda pale bandari angalia kontena lililopakiwa gari, utakuta dirisha la mbele la gari la kushoto au kulia utakuta liko wazi.
 
Back
Top Bottom