Swali Chokonozi: Kwanini Mzee Mwinyi hakuzikwa kwao Mkuranga kapelekwa Zanzibar?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,949
Najua Mwinyi amezaliwa Mkuranga mkoa wa Pwani. Nilitarajia kiongozi anapofariki hupelekwa kuzikwa nyumbani kwao alipozaliwa. Tumeona kwa Nyerere, Mkapa, Lowassa, Magufuli n.k.

Kwa Mzee Mwinyi kumetokea sintofahamu gani? Je kuna shinikizo lolote la kisiasa na kiserikali katika masuala mazima ya kulinda muungano?

Nimejaribu kuwaza tu waungwana namtakia pumziko jema la milele Mzee wet Ali hassan Mwinyi.
 
Najua Mwinyi amezaliwa Mkuranga mkoa wa pwani. Nilitarajia kiongozi anapofariki hupelekwa kuzikwa nyumbani kwao alipozaliwa. Tumeona kwa Nyerere, Mkapa , Lowassa , Magufuli n.k.

Kwa Mzee mwinyi kumetokea sintofahamu gani? Je kuna shinikizo lolote la kisiasa na kiserikali katika masuala mazima ya kulinda muungano?

Nimejaribu kuwaza tu waungwana namtakia pumzika jema la milele Mzee wet Ali hassan Mwinyi.
Hao uliowataja una uhakika Walikozikwa ndiko walikozaliwa?
 
Hivi msukuma aliyezaliwa Dar es Salaam ataendelea kuwa msukuma au atakuwa mzaramo?

You people are just complicating issues about Mwinyi. Hata kama kazaliwa Mkuranga wazazi wake au baba yake katokea Unguja. Hii haimaanishi kwamba kwa sababu kazaliwa Mkuranga ule uzanzibari wa wazazi wake na asili yake inakufa.

Hata sisi wote tumetokea mikoani na watoto wetu wamezaliwa hapa hapa Dar. Lakini siku nikifa u mtoto wangu akifa maziko ni mkoani kwetu yaani yalipo makazi ya mababu zetu.

Muacheni mzee wa watu azikiwe familia ilipoona inafaa.
 
Kwa uelewa wako unadhani mzee ruksa alizaliwa wp???
 
Najua Mwinyi amezaliwa Mkuranga mkoa wa Pwani. Nilitarajia kiongozi anapofariki hupelekwa kuzikwa nyumbani kwao alipozaliwa. Tumeona kwa Nyerere, Mkapa, Lowassa, Magufuli n.k.

Kwa Mzee Mwinyi kumetokea sintofahamu gani? Je kuna shinikizo lolote la kisiasa na kiserikali katika masuala mazima ya kulinda muungano?

Nimejaribu kuwaza tu waungwana namtakia pumziko jema la milele Mzee wet Ali hassan Mwinyi.
Mtoto anataka kujiwekea mazingira mazuri ya kisiasa.
 
Najua Mwinyi amezaliwa Mkuranga mkoa wa Pwani. Nilitarajia kiongozi anapofariki hupelekwa kuzikwa nyumbani kwao alipozaliwa. Tumeona kwa Nyerere, Mkapa, Lowassa, Magufuli n.k.

Kwa Mzee Mwinyi kumetokea sintofahamu gani? Je kuna shinikizo lolote la kisiasa na kiserikali katika masuala mazima ya kulinda muungano?

Nimejaribu kuwaza tu waungwana namtakia pumziko jema la milele Mzee wet Ali hassan Mwinyi.
Muungano
 
Back
Top Bottom