Super El nino kuvunja rekodi ya Miaka 60

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Sasa hivi wakandarasi wa miundombinu wanakimbizana (zimamoto) na Super El nino inayoanza Oktoba ili wapewe certificates walipwe fedha ili Super El nino ikijabomoa miundombinu basi wapewe kandarasi upya watengeneze ela upya.

Mvua za El nino zinakusudiwa kuwa kubwa Oktoba na Disemba 2023 ambapo zinatarajiwa kunyesha kwa kiwango cha kati ya 300mm hadi 650mm kwa siku hii ikivunja rekodi ya miaka 60 kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Jamhuri ya Kenya.

Tayari zimewahi kushuka baadhi ya sehemu za Kenya ambayo imeathiriwa na ukame miaka 3 mfululizo na kuvunja rekodi ya miaka 40.

Baada ya kuhifadhi mazingira, hivi sasa Mwanza ndiyo inapata mvua nyingi JMT kiasi cha 19mm kwa siku. Miaka ya nyuma ilikuwa ni Mbozi ndiyo iliongoza Afrika kwa mvua nyingi.

Igunga ndiyo sehemu inayopokea mvua kidogo JMT kiasi cha 585mm kwa mwaka sawa na 23.03" ambayo ni 1.6mm kwa siku na inapata mvua kwa siku 142.1 katika mzunguko wa majira ya mwaka.

Hii Super El nino ni ya kuombea sana isilete madhara.
 
Sasa hivi wakandarasi wa miundombinu wanakimbizana (zimamoto) na Super El nino inayoanza Oktoba ili wapewe certificates walipwe fedha ili Super El nino ikijabomoa miundombinu basi wapewe kandarasi upya watengeneze ela upya...
Jamaa wangu wa Makienzi wapo busy sana hawana habari hizo vua likishuka kilaharibu mieumbinu wanaomba tena kandarasi nyingine kwani kuna hasara gani?
 
Sasa hivi wakandarasi wa miundombinu wanakimbizana (zimamoto) na Super El nino inayoanza Oktoba ili wapewe certificates walipwe fedha ili Super El nino ikijabomoa miundombinu basi wapewe kandarasi upya watengeneze ela upya.

Mvua za El nino zinakusudiwa kuwa kubwa Oktoba na Disemba 2023 ambapo zinatarajiwa kunyesha kwa kiwango cha kati ya 300mm hadi 650mm kwa siku hii ikivunja rekodi ya miaka 60 kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Jamhuri ya Kenya.

Tayari zimewahi kushuka baadhi ya sehemu za Kenya ambayo imeathiriwa na ukame miaka 3 mfululizo na kuvunja rekodi ya miaka 40.

Baada ya kuhifadhi mazingira, hivi sasa Mwanza ndiyo inapata mvua nyingi JMT kiasi cha 19mm kwa siku. Miaka ya nyuma ilikuwa ni Mbozi ndiyo iliongoza Afrika kwa mvua nyingi.

Igunga ndiyo sehemu inayopokea mvua kidogo JMT kiasi cha 585mm kwa mwaka sawa na 23.03" ambayo ni 1.6mm kwa siku na inapata mvua kwa siku 142.1 katika mzunguko wa majira ya mwaka.

Hii Super El nino ni ya kuombea sana isilete madhara.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tanesco wanasemaje kuhusu ule upigaji waliojikanyagakanyaga nao, usishanga wakitafuta sababu nyingine

Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga.
 
Itakua janga, itakua fursa itategemeana na zone uliopo. Chakula kitapanda sana hivyo kwa waweka stock watapiga hela.
Kama itatokea hali kuwa sawa itachukua miaka miwili hapo ni kupigwa na kupiga kama jinsi petrol inavyo fanya mtaani. wengine wanapiga hela wengine wanapigwa, it is a game of chance so tune yourself and play the game.
 
Ngoja nikarabati mapema ka kisima kangu huenda safari hii katafurika maji ya el ninyo.
 
Kuna yule aliyekuwa akijihita mtabiri maarufu Afrika Mashariki jina lake Sheikh Yahaya aliwatabiria wenzake vifo na kuwatishia wale waliokuwa na nia ya kugombea kwenye kura za maoni dhidi ya mpendwa wake kwa chama twawala kwamba wakijitokeza watakufa naye alikuja kufa.
 
Back
Top Bottom