Sungura

barnabie

Member
Jul 13, 2011
44
6
Anayefuga sungura atujuze jaman,nataka kufuga sungura lakin ningependa kujua jins yakuwafuga na kuepusha kupata magonja
 
Tengeneza banda ambalo litakuwa at least one foot toka ardhini na weka wavu kwa chini, hii itasaidia wakati wa kusafisha uchafu, pia ni muhimu kuonana na daktari wa mifugo kila mwezi kuangalia afya ya sungura wako ..............
 
Back
Top Bottom