Sungura sizitaki mbichi hizi!nani anakumbuka shairi hili????

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Sungura akarukaruka, lakini hakufikia
Akachoka na mkia, matunda kuyarukia.
sungura akalilia ,sungura nakuambia.
yakamtoka machozi,sungura akalilia,
naona nafanya kazi,bila faida kujua,
sizitaki mbichi hizi,sungura akagumia.
Haya anaekumbuka ubeti mwingine anakaribishwa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom