Sumu inayosambaa mitaani dhidi ya Magufuli, Mungu ingilia kati

Mfano mabadiriko ya kuongeza viwanda yanaleta pain gani kwa wananchi... Tumekalili vitabu ila tumeshindwa kukalili uhalisia
 
Wewe umekisa la kuongea! Umeshindwa kufanya maisha ya familia yako yasonge mbele unabaki kulaumu nafasi ya mtu, wewe ni sawa na mcheza mpira aliye nje ya uwanja kulaumu mchezaji wa ndani kuwa na kosea kufunga magoli , kumbe wewe ndo mchezani mbovu zaidi ungepewa nafasi ya kuingia uwanjani! Haafu wewe una kila kitu na umekamilika na una sifa za kushika nafasi kama hiyo kwanini ubaki mtaani kulaumu Fulani kakosea si uombe nafasi uingie tuone kama ni fundi wa kupiga shuti ndani ya goli! Hebu tubadilike tuache maisha yakukaa na kulaumu wakati wewe ni raia na una haki ya kuwa kiongozi! Uchaguzi 2020 omba ingia kwenye mfumo tukuone ujuzi wako wa mambo na siyo kutupigia kelele huku mtaani!
Usiongee kama muimba taarabu ya mipasho mpinge kulingana na wazo/maoni aliyotoa. Ukweli upo wazi ukimbana sana tajiri mwisho wa siku anayeumia ni mtu wa hali ya chini. Nikupe mfano rahisi; Bakharesa alipobanwa kwenye kodi (akituhumiwa kukwepa kodi) mtikisiko alioupata ilimlazimu kupunguza wafanyakazi zaidi ya 2000 ambao mpaka leo wapo mtaani, na ndivyo hivyo2 walivyofanya wamiliki wa mahoteli nk. Ndugu yangu mimi sio mtaalamu wa uchumi lakini ninayoyaona kwenye soko la hisa na kama tutaendelea hivi basi tunahitaji miezi 4 tu kuitumbukiza Nchi shimoni
 
Mafisadi na wala rushwa sio wanaoteseka wanaoteseka ni wanyonge ambao mnawaambia walizoea kuishi kwa ujanja ujanja.kwani kuna mtoto wa fisadi anaelilia mkopo?au analilia ajira?ni hao wanyonge
Rejea hapo juu alivyoandika ccm wamezibiwa mirija yao n. K
 
Mgo
Narudia kusema nilichokuwa nimesema tangu mwanzo wa awamu hii: kama kuna mtu anayemshauri mkuu wa nchi basi mtu huyo au kikundi hiko ni kikundi cha watu wenye akili kuliko ilivyowahi kutokea nchini! Maana inashangaza kasi yao ya kuuzamisha utawala huu kwa kuzamisha uchumi kwa kuharibu vitengo vyote muhimu katika maendeleo ya watu na yakiuchumi. Hawa watu sio wakawaida hata kidogo, na naamini wanapatikana na kuruhusiwa kufanya uharibifu wa aina hii hapa Tz tu!
Mgonjwa wa ukimwi upo?:D:D:D
 
Hayo ni 9, 10 nitaje na Mimi naeneza SUMU nimeanza na MSHUA , MUM na Familia nzima Hata useme vipi kaka Mimi Sikutegemea hali hii tungefika Huku hv Kweli mtoto wa kibarua wa mkulima wa Pamba toka ikunghulyabyashashi Simiyu ndani huku Afu unamleta UDSM Tena kusoma PCB ila tu TCU tu wanamtupia Bsc in Applied Zoology Meal and Accomodation 45,000/= per 2 months Book and stationary 7000/= special faculty 450/= Afu unasema Mimi Rais wa Wanyonge!!! Brother acha Utani Wewe kama ni Kamanda wa UVCCM unamendea cjui Uafisa NYUKI usilete UTANI pasipo na UTANI lete hoja zenye uhalisia na sio hisia!!!
 
Nilifikiria Labda ni sumu Kuwa anawatesa wananchi wake..
Kumbe sumu Ya kuwabana mafisadi,walarushwa na wazembe..
Sema hiyo ni sukari nitamu kwa wanyonge na wapenda haki Kama sisi...!?
Ni sukari tamu hasa kwa sisi wanafunzi maskini tuliokosa mikopo ksbu elimu ya juu ni anasa na ufusadi mtupu. Watoto wa wanyonge wakachunge ng'ombe kijijini!
 
Sifa moja ya ukiwa mjasiriamali unajijenga kuwa na roho ngumu kwa hiyo kama umeshawahi pata dhoruba katika heka heka zako za kutafuta mafanikio utagundua kwamba dhoruba ndo zinamjenga mtu kupata mafanikio. Hapa sizungumzii dili au misheni town. Kama huna endurance walio nayo wajasiriamali ni ngumu sana kustahimili dhoruba zinazokuja na mabadiliko kama haya utaishia tu kuwa mlalamishi na malalamishi huwa hayatatui tatizo lolote sababu unaenda kulala jioni unaamka kesho unakuta ngoma bado ipo vile vile:D:D:D. Uzuri ni kwamba wakati wa kula mema ya nchi utapofika wale walalamishi na wasio walalamishi wote watafurahia hiyo neema. Hakuna atayehukumiwa kwa ulalamishi. Na hakuna atakayehukumiwa kwa kuamua kuchukulia changamoto kama ni fursa. Lazima wawepo walamishi ambao wanataka hali irudi kama awali na wapo wale ambao wao watajifunza ku adjust zile kasia za mashua zao ili ziende sambamba na upepo. Halazimishwi mtu kuchagua hatua ipi inamfaaa. Ila wale watakaochagua kuadjust kasia za mashua zao ziende sambamba na upepo ndiyo watakaoneemeka zaidi...Kila hali ngumu kwa pessimists ni kilio na majonzi kama dunia ndo imekaribia kufika mwisho ila kwa optimists ni opportunity ya kuji-evaluate binafsi kama maisha anayoishi yanaitaji some adjustment au vipi ili kuendana na uelekeo wa upepo. Kwa hiyo tuwe na amani tuchague njia inayotupendeza sisi binafsi ila mwisho wa siku kila mtu atakula kwa maamuzi atayochukua sasa. Mabadiliko ni magumu sana kuyazoea...:D:D:D
 
Jamiiforums ni mtandao mkubwa na makini kuliko yote Tanzania. Ni wazi kuwa washauri wa Rais Magufuli wapo humu. Sote tunaipenda nchi yetu, wakosoaji na waungaji lengo letu ni moja kuiona Tanzania ikinawiri. Niwatake washauri wa Rais Magufuli wanaochungulia humu Jamiiforums wakamshauri na kumwonyesha hali halisi ya huku mitaani. Acheneni na mchezo wa kumpotosha Mh.Rais wa Tanzania.

Mwelezeni rais ukweli kuwa kuna chuki kubwa sana inaene kwa kasi ya ajabu huku mitaani, sumu hii inatawanywa kumchukua rais na kutaka aonekane kuwa hayuko pamoja na Watanzania. Chuki na sumu hii imeanzia ofisi za umma, kwa wafanyabiashara, wana CCM-Lowasa Masalia, na sasa wanafunzi wa vyuo vikuu...

Nitafafanua..

WATUMISHI WA UMMA

Watumishi wa umma ndio wamekuwa vinara na wajengaji wazuri wa hoja za kumchukia na kumkataa Rais Magufuli. Chuki hii imefanikiwa kuenea miongoni mwao na sasa imeekelea kwa raia wa kawaida.
  • Watumishi wa umma wamekuwa wakiwalisha sumu wajasiriamali kuwa kushindwa kwa biashara zao ni kutokana na wao kubaniwa na Serikali ya Awamu ya 5. Kwamba wao walikuwa ni kichocheo cha biashara zao kuangushwa kwao na serikali ndio kuanguka kwa biashara. Hili limekuwa likidhibitishwa na kudorora kwa biashara ndogo na kati ambazo zilikuwa na mchango mkubwa katika mzunguko wa pesa
  • Watumishi wa umma wamekuwa wakiwalisha sumu ndugu na jamaa hasa wategemezi wao. Kwamba kushindwa kuendelea kuwapatia misaada ambayo walikuwa wakifanya awali ni kutokana na serikali kuwabana sana ikiwapo kukataa kuwaongezea mishahara. Mfano kuwa vijana wa ngazi mbalimbali za elimu ambao sasa hivi wanakosa misaada ya ndugu zao watumishi wa umma kwa kuwa hali za watumishi zimekuwa duni sana.
  • Watumishi wa umma wameendelea kupanda mbegu mbaya kwa wateja wao. Mfano watumishi wa afya wamekuwa wakitumia udhaifu wa kukosekana kwa dawa na uduni wa huduma, kupanda mbegu hiyo. Wanaelekea kufakiwa...

WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU

Kwa sasa hawa ndio vinara wakubwa, mitandaoni na maofisini wanazungumziwa wao. Taarifa za matatizo wanayokumbana nayo vyuoni hivi sasa yakisababishwa na ubovu wa utaratibu wa utoaji mikopo, ndio imejaza hasira na chuki kwa watu hao. Raisi unadhani hawa watoto wanapeleka taarifa gani kwa mama zao. Wanawambia nini mama zao kuhusu 2020? Zingatia kwamba watu hawa waliahidiwa na Lowasa mgombea wa UKAWA kuwa elimu ya chuo ingekuwa bure....elimu bure mpaka chuo kikuu.

Japo ahadi hii ya Lowasa haikuwa halisi sana, lakini inasaidia sana kuongeza chuki na hasira. Sisi wengine ni wahanga wa hili, kuna wadogo zetu inabidi warudi tu nyumbani kutokana na kutokupata mikopo ama kupatia kiasi kidogo kisichomuwezesha mwanafunzi kumudu masomo. Lakini tumekuwa tukipanda sumu kuwa waulizeni mama zenu waliochangua CCM.

UNUNUZI WA NDEGE KWA PESA TASLIMU

Hii ni balaa Mh.Magufuli, imefikia kipindi wagonjwa wanaambiwa madawa hakuna labda mkapande ndege mtapona. Wataalam wa mambo ya manunuzi na uchumi wameshangazwa sana na serikali kununua ndege kwa pesa taslimu kwa maana kusuasua kwa utekelezaji wa mipango mingine kunaweza kuwa kumesababishwa na manunuzi ya dharura na zima moto kama hayo.

Manunuzi haya kwa upande mmoja yanaunyoshesha kuwa sisi tuna mihela sana kiasi cha kunua ndege kwa keshi, lakini upande mwingine hali ni mbaya sana na huduma ni mbaya. Wapinzani wako wanatumia kete hii kukuangamiza.

MISAADA YA WAHANGA WA TETEMEKO

Labda muheshimiwa rais utakuwa hujakumbushwa na washauri wako kuwa hujaenda kuwapa pole wahanga,na hawajakukumbusha kuwa uliahirisha safari ya kwenda Zambia kwa ajili yao. Zingatia na ile kauli yako kuwa serikali haijaleta TETEMEKO. Kauli hii inaweza kuwa na maana nzuri lakini haikufafanuliwa, Hii imekuwa kete nzuri kwa wasiokupenda. Wanawauliza wahanga yuko wapi rais wenu toka mtetemeshwe?

Mbaya zaidi ni hawa wahanga ambao wamekuwa wakilalamika kuwa misaada haijawafikia japo wanaona mamilioni yakimiminika kuwasaidia. Wakosoaji wamekuwa wakilisha sumu wahanga kuwa hiyo misaada ni kwa ajili yao. Ujenzi wa miundombinu ni jukumu la serikali.

Wana CCM waliozibiwa mianya

Huku ndiko kwenye hali mbaya sana kushinda kote. Hawa wameungana kukulaani kila uchao. Muunganiko huo ni wana CCM Lowasa masalia na wengine. CCM wamepigika sana mtaani, zile pesa za bure walizokuwa wakipata kwa njia za ujanja ujanja zimewatia hasira. Hawa wamekuwa wakijificha kwenye mapungufu yako ya kiutendaji kukupiga vita.

Hata hawa wanaokusujudu ni watu wanafiki tu ambao umewapa vyeo kwa namna moja ama nyingine, lakini mioyoni hawapo nawe. Kwani wangapi wenye vyeti feki na wasio na sifa lakini wamepewa vyeo? Unawajua makatibu wangapi wa CCM wasiojua hata kuandika? Unadhani hawa wanasemaje kuhusu wewe na mkakati wako wa kuondoa vihiyo? Wanapanda sumu kali sana hao.

Tahadhari yangu ni kwamba katika utendaji wako, zingatia kuwa image yako mitaani ipo hivyo. Wanaokushauri wasikupotoshe kukuambia kuwa image yako ni nzuri na uko presentable wakati sio. Kwa hiyo kuna mambo unahitaji kujitathmini sana namna ya kuyashughulikia kinyume na hapo labda ujiandae kutumia nguvu sana 2020.

ITAENDELEA..
Kwa hiyo? Unataka aache ujinga uliopo nchini uendelee tu ili apendwe?
 
Mleta Mada Huridhiki mpaka umtaje Lowassa?Matatizo Yenu CCM na serikali yake kwanini msingizie watu wengine?

Kwa taarifa yako Jackal, huyo Mleta mada sio CCM.

Muhimu zaidi ni Mlengwa/Walengwa kupima na kuchambua alichowasilisha; kwa sehemu kuna maeneo ambayo Mleta mada yuko sahihi lakini mengine ni subject to....

Naomba kuongeza kama ushauri/maoni, Mh. Rais Magufuli kuna mambo mazuri unayofanya lakini njia unayotumia, hasa kauli zako, zinasababisha upate mwitikio hasi badala ya chanya. Una mapungufu ya hekima/busara ambacho kwa nafasi yako ya Uongozi kinakuwa magnified and more glaring. Bahati nzuri ni kitu unachoweza kukifanyia kazi kama utakubaliana na kuona haja ya kuboresha utu na uongozi wako.

Sote tunataka, tunatamani na tunaomba tuwe na Tanzania bora, yenye siha na ustawi kwa raia zake bila ubaguzi wowote lakini mara nyingine kwa mitazamo tofauti. Hivyo Mh. Rais zingatia na ujifunze kuwa utofauti wetu wa mawazo, mbinu, uwezo au itikadi havitupunji haki ya kushiriki ujenzi wa nchi hii, kama ambavyo havikupi au yeyote haki zaidi katika mambo yayo hayo.

Hakuna mtu mwenye kipimo cha kujua nia au uzalendo wa mtu mwingine lakini kwa matendo, maneno na ushiriki wetu mtu anaweza kupima/kupimwa. Mh Rais ukipimwa usikasirike wala kuhamaki, hayo na mengine ni sehemu ya hicho kifurushi kinachoitwa Urais.
 
Jamiiforums ni mtandao mkubwa na makini kuliko yote Tanzania. Ni wazi kuwa washauri wa Rais Magufuli wapo humu. Sote tunaipenda nchi yetu, wakosoaji na waungaji lengo letu ni moja kuiona Tanzania ikinawiri. Niwatake washauri wa Rais Magufuli wanaochungulia humu Jamiiforums wakamshauri na kumwonyesha hali halisi ya huku mitaani. Acheneni na mchezo wa kumpotosha Mh.Rais wa Tanzania.

Mwelezeni rais ukweli kuwa kuna chuki kubwa sana inaene kwa kasi ya ajabu huku mitaani, sumu hii inatawanywa kumchukua rais na kutaka aonekane kuwa hayuko pamoja na Watanzania. Chuki na sumu hii imeanzia ofisi za umma, kwa wafanyabiashara, wana CCM-Lowasa Masalia, na sasa wanafunzi wa vyuo vikuu...

Nitafafanua..

WATUMISHI WA UMMA

Watumishi wa umma ndio wamekuwa vinara na wajengaji wazuri wa hoja za kumchukia na kumkataa Rais Magufuli. Chuki hii imefanikiwa kuenea miongoni mwao na sasa imeekelea kwa raia wa kawaida.
  • Watumishi wa umma wamekuwa wakiwalisha sumu wajasiriamali kuwa kushindwa kwa biashara zao ni kutokana na wao kubaniwa na Serikali ya Awamu ya 5. Kwamba wao walikuwa ni kichocheo cha biashara zao kuangushwa kwao na serikali ndio kuanguka kwa biashara. Hili limekuwa likidhibitishwa na kudorora kwa biashara ndogo na kati ambazo zilikuwa na mchango mkubwa katika mzunguko wa pesa
  • Watumishi wa umma wamekuwa wakiwalisha sumu ndugu na jamaa hasa wategemezi wao. Kwamba kushindwa kuendelea kuwapatia misaada ambayo walikuwa wakifanya awali ni kutokana na serikali kuwabana sana ikiwapo kukataa kuwaongezea mishahara. Mfano kuwa vijana wa ngazi mbalimbali za elimu ambao sasa hivi wanakosa misaada ya ndugu zao watumishi wa umma kwa kuwa hali za watumishi zimekuwa duni sana.
  • Watumishi wa umma wameendelea kupanda mbegu mbaya kwa wateja wao. Mfano watumishi wa afya wamekuwa wakitumia udhaifu wa kukosekana kwa dawa na uduni wa huduma, kupanda mbegu hiyo. Wanaelekea kufakiwa...

WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU

Kwa sasa hawa ndio vinara wakubwa, mitandaoni na maofisini wanazungumziwa wao. Taarifa za matatizo wanayokumbana nayo vyuoni hivi sasa yakisababishwa na ubovu wa utaratibu wa utoaji mikopo, ndio imejaza hasira na chuki kwa watu hao. Raisi unadhani hawa watoto wanapeleka taarifa gani kwa mama zao. Wanawambia nini mama zao kuhusu 2020? Zingatia kwamba watu hawa waliahidiwa na Lowasa mgombea wa UKAWA kuwa elimu ya chuo ingekuwa bure....elimu bure mpaka chuo kikuu.

Japo ahadi hii ya Lowasa haikuwa halisi sana, lakini inasaidia sana kuongeza chuki na hasira. Sisi wengine ni wahanga wa hili, kuna wadogo zetu inabidi warudi tu nyumbani kutokana na kutokupata mikopo ama kupatia kiasi kidogo kisichomuwezesha mwanafunzi kumudu masomo. Lakini tumekuwa tukipanda sumu kuwa waulizeni mama zenu waliochangua CCM.

UNUNUZI WA NDEGE KWA PESA TASLIMU

Hii ni balaa Mh.Magufuli, imefikia kipindi wagonjwa wanaambiwa madawa hakuna labda mkapande ndege mtapona. Wataalam wa mambo ya manunuzi na uchumi wameshangazwa sana na serikali kununua ndege kwa pesa taslimu kwa maana kusuasua kwa utekelezaji wa mipango mingine kunaweza kuwa kumesababishwa na manunuzi ya dharura na zima moto kama hayo.

Manunuzi haya kwa upande mmoja yanaunyoshesha kuwa sisi tuna mihela sana kiasi cha kunua ndege kwa keshi, lakini upande mwingine hali ni mbaya sana na huduma ni mbaya. Wapinzani wako wanatumia kete hii kukuangamiza.

MISAADA YA WAHANGA WA TETEMEKO

Labda muheshimiwa rais utakuwa hujakumbushwa na washauri wako kuwa hujaenda kuwapa pole wahanga,na hawajakukumbusha kuwa uliahirisha safari ya kwenda Zambia kwa ajili yao. Zingatia na ile kauli yako kuwa serikali haijaleta TETEMEKO. Kauli hii inaweza kuwa na maana nzuri lakini haikufafanuliwa, Hii imekuwa kete nzuri kwa wasiokupenda. Wanawauliza wahanga yuko wapi rais wenu toka mtetemeshwe?

Mbaya zaidi ni hawa wahanga ambao wamekuwa wakilalamika kuwa misaada haijawafikia japo wanaona mamilioni yakimiminika kuwasaidia. Wakosoaji wamekuwa wakilisha sumu wahanga kuwa hiyo misaada ni kwa ajili yao. Ujenzi wa miundombinu ni jukumu la serikali.

Wana CCM waliozibiwa mianya

Huku ndiko kwenye hali mbaya sana kushinda kote. Hawa wameungana kukulaani kila uchao. Muunganiko huo ni wana CCM Lowasa masalia na wengine. CCM wamepigika sana mtaani, zile pesa za bure walizokuwa wakipata kwa njia za ujanja ujanja zimewatia hasira. Hawa wamekuwa wakijificha kwenye mapungufu yako ya kiutendaji kukupiga vita.

Hata hawa wanaokusujudu ni watu wanafiki tu ambao umewapa vyeo kwa namna moja ama nyingine, lakini mioyoni hawapo nawe. Kwani wangapi wenye vyeti feki na wasio na sifa lakini wamepewa vyeo? Unawajua makatibu wangapi wa CCM wasiojua hata kuandika? Unadhani hawa wanasemaje kuhusu wewe na mkakati wako wa kuondoa vihiyo? Wanapanda sumu kali sana hao.

Tahadhari yangu ni kwamba katika utendaji wako, zingatia kuwa image yako mitaani ipo hivyo. Wanaokushauri wasikupotoshe kukuambia kuwa image yako ni nzuri na uko presentable wakati sio. Kwa hiyo kuna mambo unahitaji kujitathmini sana namna ya kuyashughulikia kinyume na hapo labda ujiandae kutumia nguvu sana 2020.

ITAENDELEA..
Mkuu mtaani ninakoishi, ukisema Magufuli mbaya labda uwe na uwezo wa kukimbia. Watu wanamuunga mkono kwa asilimia mia.
 
Mabadiliko yoyote yanapotokea kwa kawaida watu lazima wataharuki ila baadaye tutazoea tu.
 
Waulizeni mama na Baba zenu walipiga kura ipi. Wamevuna walichopanda na bado watavuna sana
 
Great thinkers
 
CRDB hawakopeshi... postal bank Hali si nzuri. NMB wanaelekea uko uko.. kama wafanya biashara wadogo wasipopatiwa mikopo uchumi utakuaje afu ww unasema Hali nzuri kwa wanyonge. Waliokuwa wanasubiri waongezewe mishahara wakope wawalipie watoto Karo za shule nao Hali tete. Wanyonge gani unao wazungumzia. Mungu anawaona.
Nmb wamepandisha riba juzi 22%
 
Back
Top Bottom