Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

Halaka halaka kabla meri ajag'oa nanga
ndugu nimekuelewa vyema ulichomaanisha ila siyo vibaya kama ukirekebisha kidoooogo maneno uliyotumia. Mf. haraka badala ya halaka; meli badala ya meri; na haijang'oa badala ya ajag'oa.
 
Hata akihama hana effect, angeonekana wa maana kama asingechukua fomu ya kuomba urais kupitia ccm, hana jipya alikuwa waziri mkuu miaka 10 kafanya nini cha maana? He is just spoilling chadema. Let him go to egypt.
 
kikwete nini hiki ulichokifanya?kweli unakubaliana na haya unapiga kimya?nape na yy anasema waendelee kuhama??nyerere njoo hukuuuu!!!!uokoe chamaaa....sasa hiv hawa marais waliostaafu hawawezi okoa jahaz kwa sababu wana jazba na ubabe hivyo watakutana na new generation watajibiwa ipasavyo.....

Sumaye alikuwa hasaidii chama wala serikali miaka yote 10 ya Utawala wa Kikewte alikuwa hasaidii chama wala serikali. ilikuwa kukiponda chama na serikali.Watu mizigo hawahitajiki CCM aende tena upesi na wengine wote ambao hawakusaidia kujenga Chama na serikali wana CCM tunawataka waondoke upesi tena haraka.Habembelezwi mtu kubaki waondoke tena haraka.Hatuna muda wa kupoteza tunaelekea uchaguzi.Waondoke.
 
muwe mnaweka na picha siyo tu kuharakisha kutoa taarifa isiyo na chanzo cha kuaminika: basi sisiem inakufaaaaaaa kama mgonjwa aliyeishiwa maji mwilini
 
Natamani aseme mafanikio aliyoipa nchi kwa kipindi cha miaka kumi akiwa PM kwanza, halafu aseme mchango wake katika chama halafu amalizie na msimamo/hatima wake ili tujue anayoyasema tuchanganye na zetu. . . . . .
Namkumbuka kwa kuivunja halmashauri ya jiji la Dar na kuunda Tume ya Jiji ya Mzee Keenja ambayo ilifanya kazi ya kupigiwa mfano kwa kipindi ilichokuwa madarakani.
 
Back
Top Bottom