tuku private message kwa kushea chakula cha watoto mbona unatisha! Haya pokea pm yangubinafsi nimetumia dietery suppliments kwa mtoto wangu na imenipa majibu mazuri, so nimeona ni share na wazazi wengine.the suppliment have got chewable multivitamins with phytonutrients... Na ni nzuri sana hasa kwa watoto walio acha kunyonya. Mwenye kuhitaji ani pm kwa maelezo zaidi thanks wapendwa.
hahahaa jamani nimeshaongea kuwa ni food suppliment yenye multivitamins , minerals, iron and phytonutrients. pia imekuwa formulated without artificial colors or preservatives sereously ime work kwa my kid the pm is just if you want it nikuletee kama upo dsm... thanks