Suleiman Kova na Blandina Nyoni.

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
thumbnail.aspx
SelemanKova.jpg

Mmojawapo si avuke mstari afanane na mwenzie ili wahalalishe?
 
Kigarama!
Is't a puzzle ?
Siyo Puzzle wala fumbo ni Uhalisia. Moja + moja ni mbili,sasa wanaona shida gani kuandika jibu? Ukipenda kula muwa usione shida kujilamba!! Na utu uzima huo mambo ya kuitana "honey" uchochoroni yana raha gani?
 
Swadakta!
Sasa nimeng'amua kukusoma,
maBIG !
Hatariii !
 
Back
Top Bottom