Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

Jamal Akbar

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
413
471
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa nini? na Mama msikivu.

Ameelezea hayo katika mkutano wa uzinduzi wa Mkoa katika viwanja vya Luanda Nzovwe

Pia Sugu amewaambia Wana Mbeya aliwa'miss' sana maana alisubiri misiba ndio wakutane kusalimia, lakini wanamshukuru Rais Samia kwa kuwaondolea kifungo hicho na kuruhusu mikutano.

WhatsApp Image 2023-02-25 at 16.54.23.jpeg
 
View attachment 2529724
kwahiyo ye anaona usikivu wa mama kwa kupolelewa cmu yake?
 
Huku kujikomba kumepitiliza sasa
Siyo kujikomba, nchi ilikuwa inatawaliwa na shetani aliyetwaliwa kuzimu.

Sugu amekaa jela Kwa madhira ya shetani wa Chato, Mama ameleta utengamano Kwa nini wasimshukuru?

Watanzania mnapenda unafki wa kumsifu mtu akiwa amekufa.

Mama apewe mauwa yake akiwa hai, mama ameliponya Taifa lililokuwa linatawaliwa Kwa mkono wa chuma.
 
Back
Top Bottom