Elections 2010 SUGU Kuachia Album Baada Ya Ushindi....

Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
422
Hii nimeipata from a man close to SUGU kuwa Ataachia album kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi wa Mbeya kwa Kumchagua kuwa MBUNGE wao.......Kama kawaida ya mtu wa HipHop lazima kutakuwa na mawe ya kuwaponda wabaya wake......Kama hizi tetesi ni kweli then namshauri SUGU aiachie hy album mapema coz lazima atauza na hiyo ndiyo BIASHARA..... ila awe careful na maneno atakayotumia koz kwa sasa ajijue yeye ni zaidi ya KIOO CHA Jamii...Asiwape mwanya wabaya wake kummaliza kwa aina yoyote ile......

Nakupongeza kwa ushindi na ninakutakia mafanikio mema Mjengoni.....Hope to hear ur voice while in there..(MJENGONI) Unayajua maisha ya Kitaa so plz......REPRESENT US......NEVER FEAR ANYBODY AS LONG AS THE TRUTH WILL ALWAYS STAND STILL..........................
 
Huyu Sugu anatakiwa apewe unaibu waziri wa michezo burudani na sanaa, kikwete aache mambo ya chama kimoja ammteue sugu na Dr. Slaa apewe ubunge wa kapuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom