Sugu awapiga mkwara DMX and FABOLOUS..A WORLD OF CAUTION TO DMX & FABOLOUS

hujui nguvu ya tunguli nini wewe?
Greater Thinker na story ya kubumba tupa kule mwatujazia thread tu hapa...
DMX & FABOLOUS wanakuja kwenye show ipi amabyo Sugu anawaambia wasije?
tupoe source ya hii story... otherwise umetumwa na Ruge..
take care HARAKATI ZIMEANZA NA ANT-VIRUS ndo mpango mzima - Vinega wapo full haina kuremba
 
pambafu!! zako we mzee

Mbunge mzima anatoa nyimbo za matusi anajiita mwanaharakati. Uanahakati gani wa kutukana.


eti sugu anatukana, huyo DMX NA Fabilous wanaokuja nyimbo unazielewa?
au ndio nyie mnaoshangilia mkisikia PUT MOTHER**** HANDS IN THE AIR.....???
sugu hajatukana wanaongea maneno ya kiswahili sema kwa kuwa hamjazoea kuyasikia mwayaona ya ajabu
 
Safi sana Sugu mwambie huyo DMx na mbinua Midomo Fab wewe GT acha ungese mbona kingeleza kipo safi au andika wewe basi tuone,usikatishe watu morale kwa pumba zako aluta continua atuwahitaji hao kina DMX wala unga wala wabenua midomo kina FAB tunataka vinega wascan viruses wote wanaoua mziki wa bongo

ktk msafara wa mamba kenge lazima mmwepo! mwambie mbunge kizungu kimegoma na kwa hilo amerekodi
 
kama akina DMX wanakuja kweli,nitaamini huyo ruge anawakandamiza kweli wananchi

sugu hana vision kama kiongozi yupo yupo tu sitashangaa kama hatachaguliwa tena second term.....

nataka kujua akina adili wana ishu gani mjini,nahisi njaa tu zinawasumbua kufuata mkumbo na kuingia kwenye beef lisilo na kichwa wala miguu la sugu na ruge....

sugu fa.la
ruge fa.la
adili fa.la
DMX fa.la

si bure wewe.. umetoka t*wa leo.. kav kav.. afu hujalipwa
 
...Wanachotaka mimi nipate tabu raha kidog tu chuki bila sababu,
Najua mama hili n'tali kabili, kwani najua jeuri dawa yake ni kiburi.

Wanasubiri waone sugu kachoka, ili wapate kucheka
watasubiri milele, watapanda watashuka

Pata picha sugu angekuwa kachoka, hakika historia ingekuwa imeshafutika
ma bwa'mdogo wangeongea...



jamaa kama alijuwa kitambo haters kibao...tazama track hiyo Mr. II aka Sugu Feat Stara - YouTube
 
A world of caution to DmX & FABOLOUS...
Look dog,here's real deal we are local artist called 'antivirus' in a movement against local promoters bringing you to Tanzania.
The antivirus movement was created by some of Tanzanians influental hiphop artist..
Who many are your fans and respect you as an artist.
The purpose of the movement is to fight against virus of exploitation that is being perprated by the promoters who are bringing you to Tanzania in many segment of the music industry.
The movement has begun it's treatment so be warned!
Now the issue here is not to alarm you but to inform you that your not really welcome to Tanzania under the circumstances..it's been an uphill battle and we have even lost some of our friends in along the way.
For people who respect you and admire for what you do and what you have been through.
It will be kindly appriciated if you sit down and talk to your people we dont want you here till things have been changed competely in Tanzania music...ONE!

Hii iliandikwa na Adili kwn status ya FB siku walipogundua DMX analetwa! 28-58 Over
 
Haa mbunge mzima we Mzee unatetea wanyonyaji ee?mi nawaunga mkono kwa sana na Anti virus volume zote 2 nazisikiliza.Tena uzuri alivyopata ubunge amekuwa na nguvu na wamefungua harakati nyingi mtandaoni tukianza kuweka wazi ubaya wa Ruge ingawa radio yao inafanya vizuri utasikitika.Mfano miaka ile jamaa alikuja navyombo vya muziki kutoka Marekani akafungua DEIWAKA productions wakamfanyia unyama mwaka jana tu alikuja kuzindua albamu akitokea Marekani jamaa wakahujumu uzinduzi kwa kutomfanyia promo ya kutosha acha wapambane kama nguvu nae keshapata.Mi naona ni vizuri aluta continua,
 
Wakuu mimi niko huku Serengeti ntapata wapi streamline ya VINEGA tuwe pamoja?:embarassed2:
 
Back
Top Bottom