Subirini kuona kama IGP atachukua hatua

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,017
144,373
Nilpomuona IGP anakemea makamanda wa Polisi wa Mikoa,sikutaka kuamini kama kweli aliongea vile bila kuwa na jambo nyuma yake na kwamba alikuwa anamanisha anachokisema.

Sasa wale mlimuamini na kumpongeza,mpimeni kwa hatua atazochukua kwa Polisi waliovamia mkutano wa ndani wa CHADEMA huko hai.

Subirini muone kama atakemea waliogiza Polisi kuvamia huo mkutano au atamkemea Afisa wa Polisi alieagiza Polisi wavamie huo mkutano.

Kama hii miaka minne haitoshi watu kujifunza,basi inapaswa tujiulize sisi ni binadamu wa aina gani.

Naomba niishie hapa.

Mimi nimeshangaa sana. Halafu DC anafananisha vikao vya chama tena vya ndani sawa na vikao vya send off. Hivi hawa wateule huwa wanafikiria kwa kutumia nini? (R.I.P Masaburi). Hivi inaingia akilini polisi nao kuwa sehemu ya mkutano wa ndani wa chama? Halafu na ajenda wanataka. Ila nasema kwa kinywa kipana. Iko siku yataisha na naamini inaweza kuwa kabla ya Novemba 24 au soon after Novemba 24.
 
Nilpomuona IGP anakemea makamanda wa Polisi wa Mkioa,sikutaka kuamini kama kweli aliongea vile bila kuwa na jambo nyuma yake na kwamba alikuwa anamanisha anachokisema.

Sasa wale mlimuamini na kumpongeza,mpimeni kwa hatua atazochukua kwa Polisi waliovamia mkutano wa ndani wa CHADEMA huko hai.

Subirini muone kama atakemea waliogiza Polisi kuvamia huo mkutano au atamkemea Afisa wa Polisi alieagiza Polisi wavamie huo mkutano.

Kama hii miaka minne haitoshi watu kujifunza,basi inapaswa tujiulize sisi ni binadamu wa aina gani.

Naomba niishie hapa.

Dawa yao ni kuichukua ile videoclip ya polisi waliovamia mkutano na kuipeleka kwenye vyama vya haki na binadamu Duniani kote pia wawafungulie kesi kwenye imahakama za uhalifu za kimataifa
 
Mikutano ya Chadema kwa 98% huwa ni haramu, kwani haina tija, imejaa uchochezi, ufitinishi, na ingefaa wapigwe sana, wavunjwe miguu, wasweke lupango, na wazeekee huko.
Nilpomuona IGP anakemea makamanda wa Polisi wa Mikoa,sikutaka kuamini kama kweli aliongea vile bila kuwa na jambo nyuma yake na kwamba alikuwa anamanisha anachokisema.

Sasa wale mlimuamini na kumpongeza,mpimeni kwa hatua atazochukua kwa Polisi waliovamia mkutano wa ndani wa CHADEMA huko hai.

Subirini muone kama atakemea waliogiza Polisi kuvamia huo mkutano au atamkemea Afisa wa Polisi alieagiza Polisi wavamie huo mkutano.

Kama hii miaka minne haitoshi watu kujifunza,basi inapaswa tujiulize sisi ni binadamu wa aina gani.

Naomba niishie hapa.

Ila nasema kwa kinywa kipana. Iko siku yataisha na naamini inaweza kuwa kabla ya Novemba 24 au soon after Novemba 24.
Hili kauli ya "ipo siku ishakuwa ngonjera ama singeli maarufu" lkn siku yenyewe haifiki na miaka 5 inakamilika. Mwisho wa siku chadema haitapata hata mwenyekiti 1 wa serikali za mtaa na mwakani itakosa madiwani na wabunge. Chadema itaingia kaburini japo upinzani utaendelea kuwepo.
 
Mimi nimeshangaa sana. Halafu DC anafananisha vikao vya chama tena vya ndani sawa na vikao vya send off. Hivi hawa wateule huwa wanafikiria kwa kutumia nini? (R.I.P Masaburi). Hivi inaingia akilini polisi nao kuwa sehemu ya mkutano wa ndani wa chama? Halafu na ajenda wanataka. Ila nasema kwa kinywa kipana. Iko siku yataisha na naamini inaweza kuwa kabla ya Novemba 24 au soon after Novemba 24.
Yataisha siku chadema wakiamua kuwashitaki polisi kwenye mahakama za kimataifa kinyume na hapo polisi wataendelea kuwavurugia vikao vyao vya ndani
 
Hili kauli ya "ipo siku ishakuwa ngonjera ama singeli maarufu" lkn siku yenyewe haifiki na miaka 5 inakamilika. Mwisho wa siku chadema haitapata hata mwenyekiti 1 wa serikali za mtaa na mwakani itakosa madiwani na wabunge. Chadema itaingia kaburini japo upinzani utaendelea kuwepo.
Natamani iwe hivyo. Wabunge na madiwani wote na Wabunge watoke CCM. Nione watafika wapi. Wasipong'oana meno wao kwa wao tena kwa shari kubwa mno maana hawatakuwa na wakugombana naye.
 
..nilianzisha uzi kuhusu kauli ya IGP kabla tukio hili halijatokea lakini naona moderators wameufuta.

..hata mimi nasubiri kuona kama IGP atachukua hatua.

..Hiki kilichotokea ni mtihani na kumjaribu kuona kama alikuwa anamaanisha alichokisema ktk mkutano wake na ma-RPC.
 
Back
Top Bottom