Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,716
- 36,180
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama.
Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia?
Kwanini Wachina watufanyie hivi?
Unauziwa bidhaa sh. 10000, ndani ya miezi 6 unapaswa ununue mara 2-3.
Vitu imara na vyenye ubora unaokubalika kimataifa upatikani wake mgumu.
Nilikwenda kufanya shopping ya vifaa vya umeme. Naambiwa kuna fake na original, Mimi nahitaji vipi?
Mafundi wenu wa magari, umeme, nyumba n.k wanawanunulia vitu fake kwa bei ya origin ili wabanie pesa.