Style za kufungia mwaka

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Wakubwa tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuufungua mwaka mpya najua kila mtu atakuwa na staili yake ya kufungia mwaka siku moja kabla au masaa machache kabla ya mwaka mpya.
Binafsi ntakuwa zangu beach na mtoto mzuri wa kisomali tukicheza kidali po!
Wewe je?
 
Umenikumbusha msomali wangu bado ananizungusha mwezi wa nne sasa,
 
Ntatuliza masaburi yangu nimsubiri prophet uebert Angel akiproffecies mamiracles ya ukweli
 
Mmmh nahisi tarehe 2 wakwanza ntakuwa na test, so ntakuwa mezani nachimbua madesa.
 
Back
Top Bottom