Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
Mgen nipo mlangon najiuliza niingie vp ndan ya jumba hili kubwa la JF lenye wapangaji lukuki? Wapangaji wenzangu naomba mnikaribishe.
Ingia na kifo cha mende, halafu ukichoka, tumia style ya mbuzi kagoma kwenda.Mgen nipo mlangon najiuliza niingie vp ndan ya jumba hili kubwa la JF lenye wapangaji lukuki? Wapangaji wenzangu naomba mnikaribishe.