Strength of a woman....

It just came to my mind to listen to Shaggy na nikajikuta nalazimika kusikiliza wimbo maarufu wa "Strength of a Woman" ambao umenilazimu nami kuudedicate:

a. Kwa dada, mama, binti na marafiki zetu wote wa kike humu JF na katika maisha
b. Kwa yule mdada spesheli kwenye maisha yetu

Please Do Enjoy:
 
Last edited by a moderator:
Thank you very much Mwanakijiji,

we feel proud to be women with this kind of dedication......:)
 
Mh I love wimbi hili la kuwa appreciated kwa wadada humu ndani.. Thank U MMK U made my evening
 
I don't mean to burst anyone's bubble but there is already another thread entitled "Strength of a woman" started by St.RR on the very same subject!
 
When A Woman Loves, She Loves For Real

Last edited by a moderator:
Sr. RR&Mwanakijiji, you made my evening yani kwa dhoruba niliyopitia mwanzo mwa 2011 naamini ni Strength imenifanya niwe hapa na huu wimbo umenipa nguvu ya ajabu kuona bado thamani ninayo.
Uwiano Maalum, nimesikiliza huo wimbo kwa feelings kali, kumbe mnatujali kwenye dunia hii..magnificent!!..

It feels good kuwa appreciated!!...
 
  • Thanks
Reactions: RR
Aisee sijui hili liyuzifuli sredi lilinipitaje?

Ni utoto tu, nikikua ntaacha..... babu narudi kitandani!
 
Sr. RR&Mwanakijiji, you made my evening yani kwa dhoruba niliyopitia mwanzo mwa 2011 naamini ni Strength imenifanya niwe hapa na huu wimbo umenipa nguvu ya ajabu kuona bado thamani ninayo.
Uwiano Maalum, nimesikiliza huo wimbo kwa feelings kali, kumbe mnatujali kwenye dunia hii..magnificent!!..

It feels good kuwa appreciated!!...

BJ.....hivi usipokubalia uwepo wa nguvu za ajabu za wanawake, utakubali kitu gani kizuri dunia hii??
 
St RR umepigilia msumari wa Mapendo kwa STRONG WOMEN wote Duniani!

God BLESSS YALL Strong WOMEN out there!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom