Elections 2010 Strategists wa CCM: Umakini au Hujuma?

simiyu1

Member
Aug 12, 2010
81
27
Angalia yafuatayo:
1. Manifesto isiyozungumzia Katiba Mpya wakati realities ziko wazi
2. Suala la Siasa za Zanzibar Vs Muungano
3. Kuchakachuliwa kura kupata wagombea wa CCM wengi wao wasio na sifa za uongozi
4. Wasemaji wakuu wa CCM kujitumbukiza suala la Josephine bila kuangalia implications zake
5. Kuzuia wagombea kushiriki katika midahalo ya TBC na mingine yote
6. Kuruhusu familia ya mgombea kushiriki kampeni in a big way kwa kutumia state apparatus
7. Kutumia mabango yenye picha za serikali kwa kampeni za CCM

Kazi kwelikweli
 
Jambo moja kubwa ni kwamba siasa za CCM ni kugeuza Chama kuwa mtaji na njia ya mkato ya kutajirika haraka haraka bila jasho. Kuanzia shina la nyumba kumi hadi kiranja mkuu asilimia 98% walipata vyeo ndani ya chama au serikali kwa udanganyifu. Hivyo wameendelea kubariki hali kama hizo zilizojitokeza kwenye kura za maoni.

Hawana haja ya kubadili/kuzungumzia katiba kwa kuwa inawapa mwanya wa kuendelea kuongoza bila kujali viraka.

Kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo isipokuwa mwamko wa watanzania umeongezeka kutokana na uelewa wa watanzania kuwa mkubwa kiasi, maisha yanawafundisha watu hali halisi ya mambo ndani ya uongozi wa ccm na serikali nzima.
 
na wamepotoka zaidi kwa kuanza kuwatumia wachawi na waganga za jadi kukampeni, hofu ya kushindwa imekuwa bayana sasa.
 
Hawajaanza sasahivi,
Tangu mwanzoni mwa utawala wa JK, sheikh yahya amekuwa ni silaha muhimu sana katika utendaji wake na ulinzi wake dhidi ya wale wote wanaoonekana kutaka kupambana nae. Akina Butiku waliposema kama hatochukua maamuzi mazito watamtosa, mchawi yahya hussein akaibuka na kitisho kuwa atakayepambana na JK atakufa, wote wakanywea. Utaona kuwa hata ccm wenyewe hawana imani nae isipokuwa anatumia wachawi kujilinda, na bahati nzuri wachawi wenyewe wamejitokeza hadharani kuutangazia umma kwamba watamlinda!!
 
Angalia yafuatayo:
1. Manifesto isiyozungumzia Katiba Mpya wakati realities ziko wazi
Je suala la katiba ni ishu katika wapiga kura? au kwa fanatics wa Jambo Forum?

2. Suala la Siasa za Zanzibar Vs Muungano
Siyo ishu, wazanzibari already made up. Wanasubiri serikali yao ya pamoja.

3. Kuchakachuliwa kura kupata wagombea wa CCM wengi wao wasio na sifa za uongozi
Democracy is messy! Wapiga kura wameamua kuchagua viongozi wanaowataka. CCM primaries are open for every member. Si ndio?

4. Wasemaji wakuu wa CCM kujitumbukiza suala la Josephine bila kuangalia implications zake
What were the implications? it made headlines for few days. It obviously had implications to voters. Slaa sell himself as former padre, do no evil kind of guy. This showed to voters kwamba naye sio msafi kihiiivyo. It worked!

5. Kuzuia wagombea kushiriki katika midahalo ya TBC na mingine yote
Bora lawama kuliko fedheha. Being an incumbent since 1961, the last place you want to be is in a debate. Politically, its a brilliant idea.

6. Kuruhusu familia ya mgombea kushiriki kampeni in a big way kwa kutumia state apparatus
Kikatiba, she still is a first lady. Now, CCM made a mistake here if they truly allowed her to use serikalis infrastructure. We will how lawyers battle this one out.

7. Kutumia mabango yenye picha za serikali kwa kampeni za CCM
I think this is a dumb rule by election commission. You are the incumbent president, its a double edge sword. People run against you, and you should be able to use pictures/videos when you are a commander in chief to showcase your presidentiality.
 
Hawajaanza sasahivi,
Tangu mwanzoni mwa utawala wa JK, sheikh yahya amekuwa ni silaha muhimu sana katika utendaji wake na ulinzi wake dhidi ya wale wote wanaoonekana kutaka kupambana nae. Akina Butiku waliposema kama hatochukua maamuzi mazito watamtosa, mchawi yahya hussein akaibuka na kitisho kuwa atakayepambana na JK atakufa, wote wakanywea. Utaona kuwa hata ccm wenyewe hawana imani nae isipokuwa anatumia wachawi kujilinda, na bahati nzuri wachawi wenyewe wamejitokeza hadharani kuutangazia umma kwamba watamlinda!!

Kwa mtu mwenye kufikiri vizuri hawezi kuyathamini na kuyachukulia uzito maneno ya SHEIKH YAHAYA. Pia ufahamu kwamba sheikh yahaya ni mtu mwenye uhuru wa kutoa maoni yake kulingana na yeye anavyoona. Watanzania wengi wanajua na kufahamu kwamba JK analindwa na vyombo vya serikali vya ulinzi na usalama na ufahamu pia hatujawahi kumsikia JK mwenyewe akisema kwamba anamtegemea sheikh yahaya katika ulinzi wake. LABDA WEWE NA SHEIKH YAHAYA MTUELEZE HUO ULINZI WA KICHAWI NI ULINZI WA NAMNA GANI?
 
Kinachotakiwa ni yeye aseme hahitaji ulinzi wa majini ya Sh Yahya na si wewe umsemee au mtu mwingine vinginevyo wananchi tutaamini aliyosema Shehe ni ya kweli.
 
6. Kuruhusu familia ya mgombea kushiriki kampeni in a big way kwa kutumia state apparatus
Kikatiba, she still is a first lady. Now, CCM made a mistake here if they truly allowed her to use serikalis infrastructure. We will how lawyers battle this one out..

Ni wapi katiba yetu inamtambua First Lady....naomba kuelimishwa
 
Back
Top Bottom