Story ya mahusiano na pia naomba ushauri

alexjosephat

Member
Feb 8, 2020
31
32
Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mdada Fulani hivi, ilipofika mwezi 10 tarehe 30 tulikutana nyumba ya wageni tukainjoy. Kama unavyojua penzi jipyaa, nikala mzigo baada ya kutoka ilikua jioni. Mida saa 3 usku akanipigia simu na kuniambia "inatakiwa niende Morogoro kwa dada wiki ijayo".

Niliumia sana coz nilikua nampenda nae alikua ananipenda tukapaanga siku ya kuagana tarehe 7 mwez wa 11 ndo tukaagana rasmi, tukaagana kiutu uzima kama unavyojua. Baada ya siku mbili akawa amesafili alipofika kama siku ya 5 akaanza kuhisi mabadiliko mara kulala sana mara uchovu mara kichefuchefu na vingne viashiria vya mimba.

Baada ya hapo kama mwezi mmoja akaenda kupima akagundulika ana mimba ya mwezi 1 na wiki hivi. Sasa ukawa msala maana dada yake alikua mkali sana na wazazi wake wakali pia.
Dah! Akili ikahama ghafla nikapanga safali ya kwenda Bukoba ili hata wakinitafuta wasinipate na yeye nikamwambia naenda Dar nikamdanganya hivo akawa amekubali.

Akataka aitoe mimba nikamzuia na tukashauriana kua kutoa mimba ni vibaya halafu ni dhambi akawa amekubali kuilea tukaendelea na maisha hivyo tunawasiliana mara kwa mara.

Nakumbuka ilikua mwezi wa 3 alinipigia simu akitaka nimtumie nauli aende Mwanza nakamwambia kua mimi niko Dar akasema nimtumie ya Dar. Nikamjibu kua hapa Dar nilipo nipo mjomba siwezi kukaa nae pale labda asubirie nitafute hela nipange chumba ili tuishi kwetu hakunielewa

Ikapita siku mbili akanipigia simu kua ameolewa kwahiyo nisumsubue nimuache na maisha yake nikamuuliza kwanini umechukua uamzi huo hakutaka kujibu bali alikata simu

Haikupita siku mbili nikapigiwa simu kuangalia namba ngeni nikapokea jamaa akaanza kuuliza unamjua fulani, nikamwambia ndio namfahamu akasema unajua kama nani yako? Nikamwambia kama rafiki yake. Jamaa akataka kuuliza
kiundani zaid nikamwambia kua ilikua ni mtu wangu.

Nilivyomwambia hivyo akasema kuanzia siku hii ya leo sitaki umsumbue mke wangu nimemuoa.
Dah! iliuma lakini ilibidi kuvumilia tuu coz ujinga niliufanya mwenyewe

Kwa hasira sikumuuliza chochote kuhusu mimba nikafuta namba yake siku zikaenda zikaenda ilipo fika mwez wa 7 mwaka 2019 nikamkumbuka sikua na jinsi coz sina namba yake nikajaribu kutafuta nikakosa nikatulia

Mwaka huu wa 2020, nimerudi Mwanza nikaomba namba kwa mdogo wake akanipa juzi nikampigia akawa amepatikana tukaongea sana mengi

Nikaanza kumuuliza kuusu mtoto akanambia alitoa mimba. Dah! Roho inaniuma sana nikamlaumu sana baada ya kuona nimeumia akasema nakutania akasema mwanao yupo mimba sikuitoa akawa amenambia amezaa mtoto wa kiume nilimia ila nilifulah akanambia kua mtoto kwa sasa ana miezi 8

Nikamuuliza mtoto nitampateje maana tayari yuko kwa mmewe akasema nisijal ipo siku. Dah! Nikaanza kuwaza sana tukazidi kuongea mengi sana badae akaka kinambia kua inabidi niwe mpole coz yule mme wake anajua kua mtoto ni wake so nisiwe na fujo nitulie kama ni matumizi nitakua natuma ila hataki fujo

SASA SWAL LANGU HUYU MTOTO ANAWEZA NITAMBUA MIMI KAMA BABA AKE AU NDO NIMUACHE TUU

NAONBENI USHAURI NDUGU ZANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni fala.. Na demu nae hajielewi..
 
Ujinga ni kipaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom