Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle

Numbisa
lara 1
Valentina

SIDECHIC MANAKE NI MCHEPUKO/NYUMBA NDOGO/KIPIMA JOTO/ MSAADA TUTANI/ SPEA TIRE/ ETC ETC ETC

MAIN CHIC MANAKE NI MKE/ MPANGO MZIMA/ MAMA LA MAMA ETC ETC

Nimewaletea mrejesho mliokuwa mnausubiri kwa miezi 3

CHAPTER 1: SIDE CHIC AND PROUD

Hi Hoe:
Karibuni karibuni sana wapendwa wangu kwenye kikundi chetu, karibuni wapiganaji, tutiane moyo
Sisi sio malaya sisi tunasaidia jamii idumu naku survice vema

Sisi sio Malaya, sisi ni customer service representative, kazi yetu ni kutumikia wateja na sio vinginevyo
Hata kama dunia haituelewi lakini sisi tunajielewa tunaongea lugha moja, shoooo! Hata Mungu anatuelewa kwaiyo ni Mungu mwenyewe atatuhukumu, vinginevyo Mungu yupo impressed na kazi zetu
Kelis: preeeeach sister, preeeeach
Irene: amen sister amen
Khadija: word word!

So niambieni changamoto mnazokutana nazo huko kwa wateja tuanze kuwekana sawa

Nani ataanza kuelezea
Wote kimyaaa
Basi me naanza kuongea alafu mtafuata na nyie
Hi Hoe:
Mimi ndio boss wenu, nimekaa kwenye hii kampuni ya side chic kwa muda wa miaka 15, naijua hii field vibaya mno, hata CV yangu ninayo ya kuwahudumia wateja wakubwa wa kubwa sio hawa vidagaa
Nimeanza hii kazi nikiwa na miaka 15, hapa hapa Daslam
Nimetembea na watu wote unaowajua maarufu
Nimetembea na vibopa wooote
Nimetembea na makonda wa daladala, madereva wa waheshimiwa, madereva wa magari ya mikoani
Madereva wa maji taka na maji safi
Kondakta wa daladala
Waume za watu ndio usiseme
Ma pilot wa ndege, cabin crews, waandishi wa habari, madaktari wa aina zote, wa kichwa, watoto, mifupa, meno, neurosurgery, wakina mama, shooo! you name it
Daslam najulikana kama Hihoe ila home wananiita Meow!
Kwahiyo muwe huru kuongea hapa mimi nina PHD ya kuwa side chic wala msiogope
Nina connections kibao africa, asia, europe, nyie tu labda mnatakaje kufanya kazi na mimi kama una maswali nikaribishe muulizd

Khadija: hi me naitwa Khajida
Hihoe na wenzie: hi Khadija
Khadija: madam me nina swali, nina miaka 25, mpaka sasa hii naongea nimelala na wanaume 10 tu
Hihoe: 10 sio wengi my dia, mimi nimelala na zaidi ya elfu 1
Khadija: so hii sekta mimi niseme bado ni bikra sijui kitu, tuelezee hii sekta yako tunatakiwa kufanyaje kazi?!
Hihoe:
Well huku mtakutana na wanaume wa aina tofauti tofauti, weupe weusi zeruzeru, waliojichubua, weusi kama mkaa, wakubwa, wadogo, wenye madushe, wenye vibamia, wanene, wembamba, warefu wafupi
Wateja wengine wakorofi, wengine wana huruma na hofu ya Mungu, wengine washenzi, inabidi tu uwe mpole kama mhudumiaji

Usipolipwa hela baada ya mchezo poaaa
Ukilipwa poaaa ila wao wakija wananilipa mimi hela ndio nakuita umhudumie

Sasa nataka kila mtu aandike hela anayotakiwa kulipwa kwa kila huduma anayotoa, we taja kima cha juu na cha chini me nipo hapa kuwasaidia mjaze hizo form baadae mnirudishie

Kelis: hata wa mil 10 wapo?! Mil 5 mil 3 wapo?! So wewe ndio utakuwa meneja wetu sio
Je kupigwa?! Maana naskia wengine wanawapiga watu kama sisi

Hi hoe: mil 10 bado hatujafika, ila mil 5 inawezekana tu so mjaze hapo kwenye no 3 kiasi gani mnataka mlipwe dau ndogo na kubwa
Kuhusu kupigwa hilo nalifanyia kazi ila jitahidi msiwaboe wateja sawa?!
Ulinzi hapa kwenye nyumba yangu upo mkubwa tuu ila sasa kama amekuita hotelini ndio hapo nitashindwa ku guarantee usalama wako ila naandaa ma body guard niwalipe waje wawasibirie ndio najipanga hapa

Irene: je kuna pesa ya kila tendo au matendo yote pesa moja
Namaanisha
1. Tukitumia condom wanalipa ndani
2. Akinipa mechi ya mbele hela ngapi?!
3. Akini poke kwa nyuma ananipa pesa ngap?!
4. Blow job je bei gan

Hi hoe: oh thank you love
Unajua hii kazi ukiashaianza inabidi ujitoe mhanga kuwa wewe ndio basi tena kwahiyo hata ukipigwa cha masikio au pua kubali tu. Si umeshajitoa mhanga kama Yesu alivyoangikwa msalabani?! So kubali yote
Hawa wanaume wengi wanaokuja wameoa ni waume za watu, wana stress zao za familia, kazi, mke, mama mkwe, watoto wakija kwako usianzishe maswali mpe tu raha atafunguka mwenyewe
Kwa mapenzi yake na akifunguka sio kumgaaanda skunyingine akija mpotezee kwa maongezi yaliopita unless labda kama amekuambia tena ndio uongee jaribuni kuwa na maneno machache au usiwe na maneno kabisaa

Wanaume wote lazima wanatumia kinga ila kama ni mshenzi ndio atakeambia anataka kavu usikubali mpaka mkapime maana haumjui na haya ni maisha yako
Mkishapima mkakuta ni swafi haya well and good
Ila mkitumia condom wanalipa mwisho mil 1
Bila condom hata mil 2 - 3 unapewa
Mechi za mbele hata laki 5 unapata
Bomba la mgongo wanalipa mpaka mil 5 wengine sio wote lakini

Kelis: samahani hizo hela unapewa wewr alafu sisi unatulipaje labda?!

Hihoe: wakinipa mil 5 naweka bank, nyie mnachukua asilimia40 ya kwenu asilimia 60 yangu
Namaanishaje kuwa nikipewa hela naenda kuandaa hotel, usafiri wa huyo client, kuwanunulia nyie vifaaa kama nguo, instruments za game, kuwapeleka seminar na kumwita kungwi awafundishe etc etc
Mkiumwa me ndo nawalipia, nawakatia insurance ya afya, mambo mengi tu nawafanyia kuwalipa ma body guard wawalinde sio mambo ya kitoto. Kuwasafirisha kwenda ulaya kwenye ma strip club kujifunza you know
Kelis: ah sasa nimeelewa na tutajuaje kama mteja amelipa pesa ngapi je ukidanganya umelipwa laki 2 kumbe umepewa mil 5?! Tunajuaje labda

Hi hoe: mteja akija tunajaza form kabisaa na mteja namwonyesha picha zenu na nini, akimchagua mmoja wenu namwita waje waonane aone na form alivyojaza na hela alafu baadse mnakutana nae kwenye hotels
Kelis: ok nimeelewa
Irene: je kuna pension zozote unatukatia maana hii ni ajira tayari
Hihoe: mnataka mkatiwe na pension, haya basi nitawakatia ila itabidi tuandikiane mkataba wa miaka 2 max sipendi kumbana mtu saana nataka uwe huru
Na huo mkataba ukisaini hamna kuchomoka mpaka uishe
Usipoandikisha mkataba ina maana sikukatii pension, sawa?! Ina maana muda wowote naweza kutemana na wewe nikachukua chombo kipya
Nawashauri mkae kwenye mkataba maana benefits zengine za kusafir nje lazima nionyeshe mkataba kwenye visa kuwa huyu ni mfanyakazi wangu kama hauna mkataba itakuwa ngumu

Wote: ahaaa tumeelewa

Khadija: kwaiyo unao madada wa ngapi mpaka sasa au ndio sisi 4 tu?!
Unaweza kutupa mfano wa wadada ambao walifanya kazi na wewe maisha yao wapo wapi?! Kuna wenye watoto, wenye ndoa ee maana we umekaa kwenye hili game kwa muda sasa utakuwa unajua mengi
Je kama tukipata bwana akataka kukuoa ukiwa ndani ya mkataba itakuwaje sasa?!

Hi hoe;
Nina wafanyakazi 24 pamoja na nyie
Ila wengine wanakuja kwa siku zao kuonana na mimi kama mlivyo nyie

Ukipata bwana ukaolewa nakuchomoa kwenye contract, ndivyo mkataba unavyosema

Ukipata mtoto na haukuolewa na bado ukawa unataka kuendelea na kazi basi me sina neno na hilo, wapo wadada 3 wanawaleta watoto hapa wanalelewa na dada wa kazi nimewaajiri alafu wakirudi kazini asbh wanakuta watoto wao wameangaliwa vzuri

Wapo walioolewa wapo waliopata watoto, wapo waliozaa tuu hawataki kuolewa.kifupi ni kwamba kuolewa au mtoto isikufanye maisha yako yakasimama
Hata ukimpata mtu amekuoa na unataka kuendelea na kazi kea siri me nakukaribisha ila kwenye mkataba sikubani saaana

Kuna walioolewa na wazungu, wapo ulaya huko wanamaisha na ndoa zao zina miaka 5 wengine 7 wengine 8.. wapo kama 10 ni marafikizangu wengine watakuja kuwafundisha

Khadija: sasa kwa akina sisi ambao hatujui english na mzungu namtaka alafu hajui kiswahili itakuwaje?!
Hihoe: nitawafundisha hapa hapa ukikaa sawa ndio nakuingiza kazini kabla ya hapo wala siwezi kukuaibisha ila uking'ang'ania basi nakuweka ukakome mbele hehe
Maana ahadi nyingi za wanaume zinatoka kwenye mechi, sasa ukuambiwa i will buy you a house na haujui anaongea nini, utafaidika nini

Wote wakacheka

Irene: hizi hela tunalipwa baada ya mechi sio au unatuweka benki?!
Hihoe: vyovyote unavyotaka mpenz me nitakupa cash au niweke bank nyie tu

Kelis: hizo trip za ulaya vepee?! Like tunaenda kwa mwaka mara ngap?!
Tunaenda kupumzika au na ni nchi gani tunazoenda

Hi hoe: kabla sijaongelea safari labda niwaambie hivi
Ukifanya kazi kwa bidii na clients wako wakakupenda kila mara wanakutaka wewe, ina maana mwisho wa mwaka nakugaia bonus kuuubwa kama zawadi, inaweza ikawa kiwanja, nyumba, hela, etc etc
Well kwa mwaka tunasafiri mara 2, inategemea na biashara ilivyoenda kwa nusu mwaka au mwaka mzima
Biashara ikiwa mbaya hatutokei nje ya tz ikiwa nzuri tunatoka tu

Khadija: sasa tutajuaje kama biashara imekuwa mbaya au nzuri wakati wewe umeshikilia mpini na makali

Hi hoe: mteja akijaza form nakupa copy so hizo kopi mzitunze, Yaani kila baada ya miezi 3 nakuita unakuja tunajua umepata hela ngapi, umetengeneza clients wangapi, etc etc so mjitahidi kwenye kutoa huduma mchangamkee, mue wabunifuuu pia mnaweza kutuelezea ubunifu wako hapa na matatizo unayopata hapa hapa kwenye kikao, sisi ni familia tunasaidiana
Kuna kufumaniwa jamaa so tutawafundisha jinsi ya kukwepa fumanizi ukaondoka bila kuchubuliwa au kupigwa au kuwekwa ilemavu au kulala ndani
Msikubali kukamatwa kiboya boya, sawa ee lazima muwe wajanga

Wote: sawa madam
Basi mjaze hizo form me nipo hapa nawasimamia, mkimaliza tuangalie hii video nianze darasa

Wakawa buzy wanajaza form zao za miakata ya kazi, kweli u side chic ni noumer!



MAIN CHICS:

Amberose: karibuni jaman, karibuni sana leo tukae hapo kwenye maua, huju ndani kuna joto karibuni mkae hapa, we nanihii peter embu ongeza viti 2 hapa haraka
Karibuni jaman akina mama karibuni mkae

Kikao kikaanza si unajua tena vile vikao vyetu vya vikundi vya akina mama, wakasalimiana pale na kuongea mambo yao ya kikundi walipokaribia kumaliza mmoja akatingisha dish
Tamia: watoto hawajambo Amberose?!
Amberose: hawajambo wapo boarding, nimewapeleka boarding St. Francis girls ndio wapo form 4 sasa
Tamia: oh safi sana watafaulu vizuri sana
Amberose: yah namwamini Mungu anawasaidia sana, vipi Amina au Mina maana kila siku inabadilisha majina,
Mina: ah me naitwa mina bwana hili amina hata sijui kwanini silipendi
Amberose: ok watoto hawajambo?!
Mina: hawajambo wanasoma hapo Almuntazir wamenaza last week mmoja grade 1 mwengine nursery
Amberose: that's nice
Vipi Tamia any luck na kupata mtoto?!
Tamia: yani we acha tu nimefanya kiila kitu lakini wapi, sasa sijui nafanyaje, na ndoa ya miaka 5 mama mkwe ana maneno kweli ananipigia keleee utadhani me ndo natoa watoto nimeichoka ile nyumba me akija naendaga kulala hotelini, si unajua mama wakwe wa kihaya walivyo, ni sheedah hapa alikuwa hataki mwanae anioe mie mkabila
Amberose: kwani wewr kabila gan
Tamia: me mmeru my dia
Mina: ndio maana mzuri nilikuwa najiuliza wahaya wanakuwaje wazuri namna hii?!
Wakacheka
Tamia: ndo ivyo my dias, nahangaika sana kupata watoto, ila Mungu atanipa tu naamini
Wote: amen.
Amberose: ina maana mume hajazaa nje kwelu miaka 5 ni mingi haujawahi kumfuma hata na mchepuko wowote?!
Mina: ah we Amber na wewe mbea embu mwache mama wa watu
Tamia: hamna bwana Mina, me sijui hata sijafuatilia na wala sitashangaa akiwa na watoto nje
Amberose: msema kweli mpenz wa Mungu unisamehe Tamia kama nakosea kukwambia, juzi kati nimetoka na mume tumeenda date night mara namwona mumeo amekaa kwenye kona na demu m1 nikashtuka alikuwa hajaniona nikamwambia mume unamwona mume wa Tamia yule pale tuondoke hapa buana me staki ushahidi
Tamia: huyo dada ulimjua ni nani kwa kumwangalia
Amberose: hapana asee ilikuwa giza tukaondoka zetu sikutaka matatizo, uwe mwangalifu my love, usikute mumeo ndio mwenye matatizo wanataka kuku frustrate buree sio vzuri
Tamia: ah tuachane na hayo bwana asante kwa kuniambia
Vipi Mina mumeo hajambo?! Yeye hakitembezi?!
Mina: mmh mume wangu hanaga hayo mambo namwaminia asilimia 100
Amberose: che! Unamwekea mwanaume asilimia zote izo kwanini labda?!
Mina: namwamini sana mume wangu anakuja hm saa 12 jioni yupo na watoto
Tamia: aisee, ivi anafanya kazi gani
Mina: ni mfanya biashara tu kazi hizi za kilimo, kuuzia wachuuzi analeta mchele toka morogoro, mbeya, mahindi, maharage toka moshi, tanga, anauza ndivyo tunavyoishi na mie nipo hapo benk NMB basi maisha yanaenda
Tamia: that's great hongera sana, jaman me naondoka naenda home nikampikie mume leo dada wa kazi yupo off haya kwaherini, akaondoka na Mina nae akaondoka
Alipofika njiani akampandia hewani Amberose, shoga umemsikia rafkiako Mina alivyo bwege?!
Amberose: yani huyu ni kaizi mbatata, anavyomsifia Sande wake utadhani Sande malaika wakati si tunamjua sande kitombi wa kufa mtu, mpare tena? Uuuwi alafu nimeileta ile stori ya mumeo makusudi, yeye ndio alikuwa na mumeo skuile nimewakuta hotelini wamejibanza
Tamia: kumbe ndio yeye mshenzi kabisa ngoja nikamkomesha next time mpaka ataniomba msamaha kwa kutambaa kwa tumbo
Amberose: skunyingine tunamsuta pale pale na kumdunda shenzi kabisa
Hili grup linatakiwa liongezeke maana nahisi linaboa sasa
Tamia: haya nitaleta mtu m1 next time tupate challenges kidogo. Haya g9t love asante sana
Simu ikakatwa
Amberose: du usilolijua ni kama usiku wa giza Mina angejua me natembea na mumewe Sande wala asingejishaua namna hii. Akampandia hewani
Mina mamaa nimeona kuwa next time tukionana ulete mtu mmoja tuwe na kikundi hata cha watu 5-7 mwisho sawa ee?!
Mina: sawa mami, nitaleta, wasalimie wote kwako asante kwa host ya leo
Amberose: asante na karibu tena
Simu ikakatwa
Mina: zoba kweli hili Amber angejua me ndio msaidizi wa mumewe asingeongea. Stupid!

TUONANE SAA 3 Nanusu USIKU


Wewe mtu sikuweziiii kabisaa dah
 
CHAPTER 5

K...FRIENDA AND FAMILY

Baada ya harusi ya Kelis, Fish akatonywaaa kuwa sande alionekana kwenye harusi na mke mdogo Khadijaa,
Amina akiwa mkono wa kuume wa Fish akaona hapa sasa haitoshi akasubiri mpaka Fish ameondoka akajifanya ameenda bustanini kutembea akachomoa simu iliokuwa kwenye maziwa yake kwa chini, si unajua tena vitochi vyetu vya nokia, akampandia hewani Tamiaa, mambo yameharibikaa sande kaonekana na anatafutwa balaaa.. Mficheni na mkewe, akaizima simu, mwe hizi kazi jameni ni sheedah!
Tamia akampandia orijinal mtoe sande watammalizaa, Sande akafichwa na aminaa, wale majambazi kuja wanakuta holaa, hayupoo mwe ni balaa!
Wakarudi kwa Fish, sande amefichwa nahisi tunae snitch amemtonyaa ndo mana kafichwaa, wakapewa kazi ya kumfuatilia traitor ni nani,
Papaa akarudi hm anamafuraha, kelis anaambiwa mama we lala, me ntapika, me ntafua, me ntafanya kila kitu gadame, Kelis akaona sasa mchaga

Naona ntakuwa mlemavu bila sabab, hapa lazimanikomaee, akaforce kwenda jobuni, mwee anapiga mzigo mara 2 ya zamani, Papaa ameongea mpaka kachokaa, kelis hasikii mpaka Papaa alipomwambia mimba ikitoka hatutaelewana we endelea na masihara, ndo akapunguza masifa ya kufanya kazi
Baada ya mwezi m1 Kelis akaenda kwa Tamia kumweleza kuwa ana mimba miezi 5, Kelis akachokaa, nguvu kazi yake inapunguaa, maana alimtegemea sana Kelis bin jembe amsaidie kwenye kum seduce Fish, dah basi bwana, akamwambia na Irene nae ameshajifunguaa, mtoto wa kiume, Mutashobya amepata mtoto wa kiume so kesho twaenda kumwona Irene maana Khadija hayupoo na hi hoe bado yupo kwenye uzazi mwemaaa.. KELIS Akashangaa ya Irene na kwanini amekaa kimya hakutaka Baby shower,
Mutashobya baby na mamake wamefurahije kupata mtoto na mjukuu, Yeleuuwi ni sheeda!
Mama mkwe sasa anavyo msujudia Irene utadhani cjui nini, Irene anashaa huyu ndo mama mkwe
Wa Kelis? Mbona me napapatikiwa kama mungu mdogo, whatsup, why? Akaamua a enjoy the ride aone mwisho wake, Irene anakandwaaa, anaogeshwaa, mwezi mzima kazi yake ni kulea na kunyonyesha mtoto tuu, muda mwingi anaangalia tv, akatamani ampigie mama yake amweleze ila yule maza alivyo mnoko akaona bora anyamaZe tu isiwe kesi, maza wake akampandia hewani, we mwana naskia una mimba.
Irene: nani amekwambia mama?
Mama Irene: ni stephano huyoo
Irene: akaona hamna haja
Irene: ndio mama na nimeshajifungua mtoto ana mwezi sasa

Mama irene: mbona haujaniambia sasa?! Jamaaan yeleuuuuwi Yeeesu na maria baba irene mwanetu ana mtoto kajifungua ana mwezi hii si aibu sasa jaman uuuwi

Irene: nimepata mtoto wa kiume, nipo na mama mkwe hapa bibi wa mtoto wangu wa kiume.. nimeshindwa kukweleza maana najua unavyopanic nikaamua kukaa kimya

Mama Irene: uuuuuwi wa kiume baba Irene tuna mjukuu wa kiume Yeeeeesu na Maria na Yosefu!
Usujali mwanangu haina neno kuhusu kuchelewa kuniambia, sasa nambie umeshaolewa na kuolewa au mbona unataja mtoto wa kiume sasa?!

Irene: bado nilipata ujauzito tu

Mama Irene: Yesuu embu rudi nyumbani kwako basi me nataka kuja kukuhudumia huko kwa wakwe haturuhusiwi kabisa kutia mguu maana ni dhambi,najisi, hairuhusiwi kabisaa, mila imekatasa kabisaaa uuuwi

Nitakuja kukulea uzazi mwanangu naomba uhamie kwako uniambie nitakujaaa

Irene: sawa mama.. wakaongea weee na baba akaongea nae wakaagana simu ikakatwa

Akaja Mutashobya, Irene akamweleza kila kitu natakiwa kuhama kwako ili mama aje aniuguzee na mama navyomjua anaweza akakaa miezi 3 kama sio 6

Muta akaona dah tena kwenda kwa hi hoe kwanza padogoje akaenda kupanga nyumba nyingime mikocheniii, akamwamisha wakati mama yake ameends kanisani j2, aliporudi mkwe na mjukuu hawapooo akasema wazazi wake wamekuja juu wamemchukuaaaa,
Mama Mutashobya akaamini, sawa mwanangu basi fanya ulipe mahari uoe kabisa kweli kimila tumekosea sana wanaweza kukulaani wale watu ulahangaika maisha yako yote fanya tulipe mahar
Mutashobya akajipanga kwenda kulipa mahari na nene, akamchukua Piere mume wa Amber, Sande ambae alikuwa hapatikan hakuelezwaaa, Papaa akamsindikiza

Mama Irene akajaaa, na mashangazi na Baba yake Irene wanashangaa Irene anakaa fancy home kuliko yaooo, mama Irene akamwuliza vepee?!

Irene: nimepangishiwa na baba mtotoo na wapo tayari kulipa mahari alafu tubatizeeee

Mama Irene akaenda kumwambia mumewe wanaleta mahari mume wanguu, ita kaka zangu kaka zako waje haraka waje tuuu

Baba Irene aka gather wajomba baba wadogo na msemaji mkuu baada ya wiki 2, akina Papaa wakaleta mahariii, akina Tamia vigelegele vepeee? Mahari ya uchumba kama harusi mwe wachaga jaman mmetisher kwa kutuangushia sherehe kubwa mmekubuhuuu!

Basi Irene akalipiwa mahari ndani ya miezi 2.5 tangu amejifungua akafurahi mwenyewe Tamia anashangaa kweli Mutashobya kapendaaa sio kwa chap chap hizooo! Du!

Irene akawa Engaged the ring was 6 karrat with diamond rings, mehn hawa vijana wa zamani wanajua kutoa vyuma vikali kwenye kidole, i wish ningempata na mie kijana wa saman, hawa wa kisasa wanakuvisha Tanzanite tuuu mwe me hata sizipendagi kwakweli

Baada ya mwezi m1 mbele Harusi ya irene ikafungwaaa, harusi simple but sure si unajua mtoto bado mdogo ana miezi 3 ikawa ya wandugu wachache 20 na marafiki 20 kisherehe kidogo harusi ikapendeza wakapanga meza ndeeefu ya watu 40 Kempinski Hotel

Wachaga wanasangaa sangaa Kempinski on fleekest! Walikuwa wanapasikia tu Yessssu na maria leo wamefika

Siku ya harusi ya Irene na Mutashobya
Ndio walimbatiza mtoto wao Gerald!

Changudoa au side chic au malaya wawili haooo washaolewa hivi hivi watu mjini wanatoa toa tu machoo, hooooow! Tena bonge la bwana .. watu na mapovu yenu wametumia kizizi wamewaloga, mxiiiiiiou! Penzi halilogwi hata siku moja kama ipo ipo ndo ivo sasa muache kuwaona wanaochepuka kama mashetan flan wajaa laana flan Mungu pekee ndio anaeweza kuwahukumu sio mimi wala wewe gademit!

Mauno waliokatika wanaume kwenye danguro unadhani mchezo, we unachezea mitarimbo na mipini kwenye danguro ya ajabu ajabu, hujui fyucha yako ikoje, kila umri kila lugha kila kabila kila rangi, kwa miaka 2 ndio unampata Mr wako mucheeezooo? The higher the risk the higher the return

Sio kwamba natetea machangudoa au malaya au whatever unavyowaitaaa but kwangu mimi binadam wote ni sawa, kama anachukua mume au bwana wangu amchukue tu kwani wanaume wameisha?! Kiru! Hata sie akina mama tunaweza lea watoto bila wanaume vile vile na wakatoka watoto wa ukweli kinyama

Oi oi leo saa 4 NANUS usiku kweeeliii, Yesu na maria

 
Back
Top Bottom