Startv: Singida kuna nini tena?

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,244
Jaman hamjambo wana jamvi,StarTv mchana huu baada ya matangazo ya bunge wameonyesha tukio moja la mbunge Tundu Lissu akiwa amezuiliwa na polisi kuongea na wanajimbo wake. Polis wametawanya wananchi kwa risasi wanadai kuna taarifa kunaweza kutokea vurugu. Mh.anadai ananyimwa haki yake ya kuongea na wananchi jimboni kwake. Mwenye taarifa zaidi atujuze maana polisi ni wengi eneo la tukio
 
vipi kukiwa na taarifa kama hizo (za kiitelejensia) kwa miaka mitatu, je wataendelea kumzuia? Mie nilifikiri wataweka mtego wawakamate??
 
Back
Top Bottom