STAMICO yatangaza nafasi mpya za kazi

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,725
2,698
Poleni na pilika ndugu zangu;

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetangaza nafasi mpya za kazi leo hii tarehe 22/08/2014.

Tangazo hilo linapatikana katika magazeti ya Daily News na Habari Leo. Pia linapatikana katika tovuti ya shirika (State Mining Corporation - Home -).

Mwisho wa kuomba nafasi hizo ni tarehe 05/Sept/2014 saa 9.30 alasiri.

Kila la kheri wadau.
 
Waliwahi fanya usaili hawa jamaa cha kushangaza hakuna aliyekaitwa kazin nadhan walibandika ndugu zao
 
Mkuu acha kupotosha watu. Waliofaulu wote waliitwa tokea Jan 2014 na kuendelea. Hadi sasa watu wanachapa kazi kwa ajili ya ujenzi wa shirika jipya lenye mtazamo wa biashara.

Kama hukuitwa ni kwamba kuna mwenzako alikupita vigezo/maksi katika usaili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom