Staili mpya ya kufunga ndoa yaingia.

Asterisk

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
214
50
Habari zenu wa TZ.
Tangu huu mwaka uanze nimehudhuria harusi nne tofauti, huwezi amin zote ukiangalia ni kwamba bwana harusi ametupia kwanza a.k.a PILOT.
YAANI MABIBI HARUSI NI WAJAWAZITO tena wanakua karibu kuzaa. Imekua ndo stail hapa mjin.

Kutoka na hilo, nafikiria kuwa enterpreneur kwa kufungua duka la shela za wadada wajawazito (lady in preginancy gown).

Kwa hii stail ya harusi jamani naona haijakaa vizuri, yaani hata heshima ya ndoa, ibada ya ndoa inapungua.

Halafu mkimaliza harusi, mnaenda honeymoon.

Wadada please, jitahidini kusubiri ndoa kisha ndo muanze kutafuta watoto.
 
Wadada wengi huwa wanaporomosha mizigo na kujiweka katika hatari ya ugumba. Vijana wa sasa wana weka PILOT kuona kama inadumu. Ikivuka miezi sita haimsumbui na bed-rest, ngoma inabebewa ndani kwa harusi nzito. Ikisumbua miezi ya mwanzo, wanaume wengi hujichomoa.

WAVULANA+WASICHANA, acheni ngono nzembe za ujanani ili muoane mkiwa fit, sio mdada tumbo huko!!!!!!! Aibu!!!
 
3940383859_73f48abf02.jpg
 
Unataka kusema ni ngono nzembe AU wanafanya makusudi?
 
mhh!! kwenye thread za 'mume/mke ni mgumba/hapandi mtungi' watu wanashauri 'shake well before use'. Kwenye thread hii watu wanashauri wakaka/dada wasubiri mpaka ndoa ndio waduu. naona kuna ukinzani wa mawazo. make up your minds people
 
Watu wanashauri, je wewe unAsemeje?
 
Both ways benefited

Mme - Most of bachoelor want to taste and see the performance and then only thinking of commitment, wanasema hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia lazima ataste kidogo.

Mke - use this for those bachelor who are attached to bachelorhood and commitment seems longway to go, so shortcut ni kubeba mimba tu and leaves no other options except marriage for atleast considerate man.
 
Unajua unaweza kwa sasa unaweza oa mwanamke ambaye kizazi kimeharibika na hazai tena, kutokana na wengi kutumia madawa ya kuzuia mimba kwa muda mrefu. Nina rafiki aliyeoa mwanamke ambaye alisha zaa na jamaa mwingine lakini yeye hakuweza pachikwa kizaigoti jamaa akaamua kutoka nje na ana watoto 2 nje ya ndoa lakini kwa mkewe hamna kitu.

Wengi wanaume kutokana nahilo wanaamua kutest zali kwanza akiona mwanamke hatemi mate mwaka mzima anatoka unyoya......

Wanasoma alama za nyakati teh teh teh tehh uuuuhahahahaha......
 
Habari zenu wa TZ.
Tangu huu mwaka uanze nimehudhuria harusi nne tofauti, huwezi amin zote ukiangalia ni kwamba bwana harusi ametupia kwanza a.k.a PILOT.
YAANI MABIBI HARUSI NI WAJAWAZITO tena wanakua karibu kuzaa. Imekua ndo stail hapa mjin.

Kutoka na hilo, nafikiria kuwa enterpreneur kwa kufungua duka la shela za wadada wajawazito (lady in preginancy gown).

Kwa hii stail ya harusi jamani naona haijakaa vizuri, yaani hata heshima ya ndoa, ibada ya ndoa inapungua.

Halafu mkimaliza harusi, mnaenda honeymoon.

Wadada please, jitahidini kusubiri ndoa kisha ndo muanze kutafuta watoto.

kwani wadada wanapata hiso mimba kwa kuotesha tu??mwanaume hana part to play kabisa??kwa nini mwanamke asuburi mpaka ndoa ila mwanamme akitembeze tu??this type of though is soo 18th century!
 
tunaogopa kuuziana mbuzi kwenye gunia. ni bora mjuane ili mkubaliane kivyovyote

ivi wewe unajua maana ya ndoa wewe??unatakiwa uwe na mtu kwenye shida na raha..

hata ukiuziwa mbuzi kwenye gunia wako-mtunze!eti mnaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia??that is the lowest explanation of them all..take responsibility of the un-protected sex you had instead of justifying it
 
Mimba ya kwanza inaweza kua shwari lakini zinazofuata zika sumbua.Mifano ipo mingi sana.
 
Unajua unaweza kwa sasa unaweza oa mwanamke ambaye kizazi kimeharibika na hazai tena, kutokana na wengi kutumia madawa ya kuzuia mimba kwa muda mrefu. Nina rafiki aliyeoa mwanamke ambaye alisha zaa na jamaa mwingine lakini yeye hakuweza pachikwa kizaigoti jamaa akaamua kutoka nje na ana watoto 2 nje ya ndoa lakini kwa mkewe hamna kitu.

Wengi wanaume kutokana nahilo wanaamua kutest zali kwanza akiona mwanamke hatemi mate mwaka mzima anatoka unyoya......

Wanasoma alama za nyakati teh teh teh tehh uuuuhahahahaha......

kwenye red..ndo unamsifia huyo rafiki yako au??stupid!!na umesikia wapi dawa za kuzuia mimba zinaharibu kizazi??do your research before you speak..unaonekana mpumbavu!
 
Back
Top Bottom