Stadium Mpya Dar kuwa Shopping Centre ya jiji

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
Stadium mpya dar umejengwa bila mikakati ya kutumia, sitashangaa baadaye kugeuzwa ghala au kijiji cha wanamichezo au shopping centre kama uwanja huu wa Japan

032810_1718_10MostUniqu1.jpg

This stadium is situated in center of Osaka City. Osaka stadium was abandoned for baseball and soon converted to sample housing showground. The stadium was demolished in 1998 and shopping center is built on that location now.
 
pmwasyoke, si photocopy hiyo ni uwanja uliokuwa na hadhi yake lakini baadaye kukosa wasukuma ngozi umefanyizwa shopping center. Soma maelezo yake hayo
 
pmwasyoke, si photocopy hiyo ni uwanja uliokuwa na hadhi yake lakini baadaye kukosa wasukuma ngozi umefanyizwa shopping center. Soma maelezo yake hayo

Kwa kweli hiyo mpya - tuombee uwanja wetu usipatwe na mkosi huo.
 
Kwa kweli hiyo mpya - tuombee uwanja wetu usipatwe na mkosi huo.

Timu za ligi kuu zinaukwepa kwa sababu ya makato makubwa mno, na pengine hata mechi za timu ya taifa zinachezwa uwanjwa wa zamani, sasa nani atakayeutunza bila matumizi yaliyokusudiwa?
Sitashangaa kuwa shopping center maana utaingiza wengi kila siku.
 
Back
Top Bottom